GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Historia inaonesha wanasiasa wa CCM hishindwa kufanya siasa nje ya CCM. hawawezi mikikimikiki
 
Kavaa kabisa na mavazi ya dini ya chama. Nakumbuka wakati upinzani u naanza wakati hawa waliopo kwenye hiki chama cha zambarau hawajajibadilisha kutoka kule ......ndembendembwe......... kifo cha mende.......niliwahi kuhudhuria mkutano wao mmoja yule kiongozi wao aliyejiita ngangari akitamka pointi walikuwa wanajibu vile vile kiarabu kama mtu akitamka pointi kwenye maubiri ya kidini.

unateseka ukiwa wapi?
 
Mara Paap Kisesa anashinda ubunge hahahah Dkt Samia ataficha wapi sura yake
Ukumbuke sasa hivi jamaa hawana haya tena usoni Kwa hatua waliyofikia. Ku revenge Kwa Watanzania Kuna hitaji nguvu ya tindo kurudisha demokrasia na uzuri washazijua akili zetu Wala hawana wasiwasi
 
Ukiwa mtu wa kuja mjini/pwani au umezaliwa karibuni huwezi kujua.
Mkuu KUWA makini SANA. Lile bomu la ARUSHA lililo lipuka kanisani, inasemekana Kuna mtoto alimuona

ALIE tupa bomu alikuwa na kanzu. Be care mkuu valia nyumbani au misikitini au misele ila SIO kanisani UTAPEWA kesi mkuu.


Kwishaaaaa
 
Back
Top Bottom