MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,707
- 21,867
Naaam kumechangamka
Siyo rahisi, Samia ameshamchukia vibaya mno na ana roho ya kisasi nyoka anasubiri.Mmmmh!
Nahisi angebaki kule kule CCM, huenda angefikiriwa pia.
Eti eeeh? Bas sawaaA man does not yield, Mpina ameonyesha uanaume
Wee em sema kwelii?!Siyo rahisi, Samia ameshamchukia vibaya mno na ana roho ya kisasi nyoka anasubiri.
Kushinda anaweza, je atatangazwa??!Mara Paap Kisesa anashinda ubunge hahahah Dkt Samia ataficha wapi sura yake
Kweli angevumilia hii mitano ya mama pengine 2030 angefanikiwa. bado kijana sana labda kama baada ya uchaguzi atarudi tena ccm kama wassira au makongoro nyerere.Mmmmh!
Nahisi angebaki kule kule CCM, huenda angefikiriwa pia.
Same as Samia hatodumuHatadumu huyu ni kama Membe
Nani amfikirie..Samia?....yule mama sio...Mmmmh!
Nahisi angebaki kule kule CCM, huenda angefikiriwa pia.
Huyo ana kingaSame as Samia hatodumu
Aah no I didn't expect thisKiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu, akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACT Wazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo.
CCM watapoteza hilo jimbo, kama Mpina atagombea ubunge!Mara Paap Kisesa anashinda ubunge hahahah Dkt Samia ataficha wapi sura yake
Kushinda atashinda lkn hatotangazwaAnaweza kushinda aisee, unajua Dkt Slaa kule jimboni kwake ilitokea hivyo hivyo.