GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

GE2025 Luhaga Mpina ajiunga na ACT Wazalendo akitokea CCM

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu, akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACT Wazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo.
Kavaa kabisa na mavazi ya dini ya chama. Nakumbuka wakati upinzani u naanza wakati hawa waliopo kwenye hiki chama cha zambarau hawajajibadilisha kutoka kule ......ndembendembwe......... kifo cha mende.......niliwahi kuhudhuria mkutano wao mmoja yule kiongozi wao aliyejiita ngangari akitamka pointi walikuwa wanajibu vile vile kiarabu kama mtu akitamka pointi kwenye maubiri ya kidini.
 
🤣🤣
 
Huyu Wahuni wanapo wanamzoom Tu, team Yao ikiongozwa na Nape inahamia Kisesa hadi January 2026
 
Adui wa adui yako ni rafiki yako. CDM msiwe wabinafsi mkaribisheni mpinzani mwenzenu upinzanini
 
Kiongozi wa Chama cha ACT Wazalendo Dorothy Semu, akimsajili Luhaga Joelson Mpina katika Mfumo wa ACT Wazalendo Kiganjani na kuwa mwanachama rasmi wa ACT Wazalendo.
A very big mistake by Mpina, kama alitaka kuhama ingekua mwaka jana for now bora angebaki tu CCM maana Samia angedondoka kabla ya Mpina kupotea kisiasa.

Hao ACT sio tu ni CCM B so ni kama hajahama maana huko ukimkosoa Samia hawakuelewi,

Pia kwa tume hii anaenda kuporwa kabisa kiti cha ubunge na atakua irrelevant labda agombee Urais ili awasaidie kupata momentum huku bara ila kama ni Ubunge anapoteza muda tu.
 
Mnaosema Atashinda au hatoshinda mmekariri siasa hamjui mambo hubadilika SH hakubaliki na akilazimisha ataizamisha nchi
 
Back
Top Bottom