JAMAN NAPE NA MWIGULU HATUWATAK PLZZZZZZZ tutaonana wabaya
Mlango ushafunguliwa ha ha ha ha..
Kama Masha ni Kamanda leo Mwigulu unamkwepea wapi.
Na Masaburi naye atakuja muandalie kiti cha mbele ha ha ha
On a serious note ni hatari
JAMAN NAPE NA MWIGULU HATUWATAK PLZZZZZZZ tutaonana wabaya
Yani CHADEMA haina muda mrefu inakufa kifo cha mende...ile CHADEMA tulioizoea haipo tena imekuwa CCM B.
Makada wote hao wanataka madaraka ndani ya chama wakina saa 8 jiandaeni kuwapisha akina Masha na Msindai waongoze chama...
Mlango ushafunguliwa ha ha ha ha..
Kama Masha ni Kamanda leo Mwigulu unamkwepea wapi.
Na Masaburi naye atakuja muandalie kiti cha mbele ha ha ha
On a serious note ni hatari
Iteni mtakavyoita,sisi haturudi nyuma.Kwa maana hiyo CCM B inakwenda kukamilishwa sasa.
Kampeni maalumu ya kuwapokea wageni wetu inazinduliwa Leo na The Great Lowassa. Ni kampeni maalumu ya kuwapokea wale wagebi wetu tuliowambia wasubiri kwanza wasiwahi kutoka. Sasa mwendo mdundo tetemeko kuu linazinduliwa Leo.. Wale wa nyumba ya jirani waandae maji ya kupoza presha....
Mwandosya mchafu?yule mgombea wa kanda ya ziwa atakayejitoa ni mchafu?mbona mlimpitishaTunashukuru wachafu wote watoke nje ya chama waje huko kwa wenzao chadema
Ccm ife!
Hamu yako lazima ikurudi mwaka huu.
Hiyo Kijani unayoisema imehamia khaki nayo ndo inayoingia ikulu kwa msafara mzito wa magamba ya "toroka uje".
Mafuliko hayabagui hata Magufuli anakaribishwa.Mlango ushafunguliwa ha ha ha ha..
Kama Masha ni Kamanda leo Mwigulu unamkwepea wapi.
Na Masaburi naye atakuja muandalie kiti cha mbele ha ha ha
On a serious note ni hatari
Huu ni ukombozi wa kifikra na haubagui mtu, watubu na kujutitia maamuzi yao tuwapokee.Tatizo ni mfumo mbovu uliowalea huko magambani
Kampeni maalumu ya kuwapokea wageni wetu inazinduliwa leo na The Great Lowassa. Ni kampeni maalumu ya kuwapokea wale wageni wetu tuliowambia wasubiri kwanza wasiwahi kutoka.
Sasa mwendo mdundo tetemeko kuu linazinduliwa leo.Wale wa nyumba ya jirani waandae maji ya kupoza presha.
Huu ni ukombozi wa kifikra na haubagui mtu, watubu na kujutitia maamuzi yao tuwapokee.Tatizo ni mfumo mbovu uliowalea huko magambani