Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Toroka uje? Kwanini utoroke! Na unatoroka wapi na unamtoroka nani?
 
Chadema ni wazito wa kufikiri..hapa suala si ugonjwa au uzima..wote ni wagonjwa...ila hapa tunaongelea ugonjwa ambao unaathiri ubongo na uwezo wa kufanya maamuzi...
Navyowajua watanzania, jamaa watamsoma afu watakuwa wanamsuburia kipindi nyaya zimelegea wanamchomekea mikataba aanguke wino!

Mbona ccm ya kikwete inasaini tu mikataba bila hata kusoma. Mmeqnza kukubali kwqmba ndie rais wenu,safi sana.
 
Yani CHADEMA haina muda mrefu inakufa kifo cha mende...ile CHADEMA tulioizoea haipo tena imekuwa CCM B.

Makada wote hao wanataka madaraka ndani ya chama wakina saa 8 jiandaeni kuwapisha akina Masha na Msindai waongoze chama...
 
Manjonjo,mbwembwe,kashfa,kejeli Na Majigambo Yataisha 25 Oct.....!!!
 
Kwa tunaojua kiswahili,kutoroka ni kuondoka kwa kificho kutoka sehemu fulani kinyume cha utaratibu.Sasa linapotumika kwenye vyama vya siasa ambavyo vinapaswa viongozwe na katiba zao,nashindwa kuelewa hivi vyama vya Kitanzania vikoje

Acha kukariri, shirikisha ubongo vizuri na ukumbuke kuwa kipaumbele chetu ni elimu hivyo utafuta ujinga baada ya ukawa kuingia ikulu.
 
Back
Top Bottom