Mukulu wa Bakulu
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 4,050
- 12,966
ndio nampendea lowassa
very creative
Kila mtu anampenda lowassa, hapa ofisini kwetu kila mtu anampenda lowassa,sisi wafanyakazi wa umma wengi tunampenda lowassa,familia zetu zinampenda lowassa.
Ukifika hapa ofisini kwetu,ofisi ya umma,sio bosi sio wafanyakazi wote tunampenda lowassa hasa creativity yake na mikakati yake,hatukani mtu,hana siasa za maji taka na hatukani chama cha mtu,yeye ni sera zake tu na elimu bure.
Mungu atupe nini watanzania, Lowassa atosha.
Toroka ujeeeeeeeeeeeew.