Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 7,218
- 12,751
Imeota mbawa au bado ipo hiyo kampeni ya toroka uje?? Kimya sana
Hawana lolote,hizo Ni propaganda tu,hazitutishi hizo,Magufuli atosha kwa kuwa watanzania wengi wamemkubali kwa kuwa ni chaguo la mungu
we unamjua mungu
Gamba lililojificha ndani ya dini.Gamba ni gamba tu.
Mimi wasi wasi wangu bado kwenye suala LA wizi wa kura, ukawa wamejipangaje kuakikisha ccm hawaibi kura mwaka huu, kwani bila ya kuzibiti hilo tutakuwa tunafanya kazi buree
Mmoja amekanusha
Jaman bado tu? Mlisema saa nane mpaka sasa ni saa kumi bado tuu?au ndio yale mambo ya ndoto za mchana
Kweli hawa wanaota!! Ona walivyofurahi, kumbe wanalishana uongo!!