Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Erythrocyte nmekuuliza hivyo ndivyo mlivyo?

Mmejengwa ktk misingi ya uongo na uzushi? Mnazusha mambo halafu mnapeana moyo na mnaushangilia huo uongo. Mnamatatizo makubwa sana
 
Last edited by a moderator:
teh teh teh. this is too low Mkuu . jaribu kushirikisha ubongo wako upya.

Ukawa hii ya lowassa hata mtu aongee kitu cha muhimu kiasi gani ila kama HAMPENDI kukisikia, ndo huwa mnakuja na point kama zako hizi, shirikisha ubongo!
 
Kina mama Lowasa,Wazee Lowasa,watoto Lowasa, Vijana Lowasaaaa,eheee Lowasa huyoooo. Torokeni jamani mje msiache mabegi yenu mje nayo yoote tutawahifadhia tu. Lizaboni karibu
 
1443620249782.jpg
 
Erythrocyte nmekuuliza hivyo ndivyo mlivyo?

Mmejengwa ktk misingi ya uongo na uzushi? Mnazusha mambo halafu mnapeana moyo na mnaushangilia huo uongo. Mnamatatizo makubwa sana
tatizo liko wapi mkuu ?
 
Last edited by a moderator:
Torokea Ukawa hiyo baba, CCM anapigwa sindano nusu kaputi halafu oct 25 anakata roho hahahahahah
 
Back
Top Bottom