Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Jamani hakuna updates?Maana wengine simu zetu hazina chaji tunachungulia tu.

Ntamshangaa mwanasiasa atakayejiunga na cdm kwa kuvutiwa na kampeni ya "toroka uje" kampeni ambayo watoto wa kitaa wanaitumia kuwamimba mabinti wa geti kali.
 
mkuu ndivyo mlivyo? Nauliza tena ndivyo mlivyo?

Mmejengwa ktk misingi ya uongo na uzushi na mnaaminishana huo uzushi na uongo na mnapongezana na kutiana mioyo juu ya uongo na uzushi??

Mm niko pemben nasubiria muumbuke
Hadi mnatia huruma. Jamanii kushabikia ccm kunahitaji akili za kizombie tu.
 
Katika Jina La Yesu, nakuamuru ufute kauli yako hii inayohatarisha taifa na vizazi vyake.

Mimi nimpenda mabadiliko na pengine ni mhanga wa ushetani wa ccm kuliko wewe, lakini suala la kuanza kutuhamisha kutoka ccm kwenda kwa shetani, ninalikataa katika Jina La Yesu.

Ninakuamuru ufute usemi wako huu na usirudie.

Ukikataa kwa kiburi au kutokujua, au kwa sababu yoyote ile, madhara yake yakupate wewe na watakao kushabikia.

Lakini katika Jina la Yesu, ninaiungama dhambi hii mbaya na kuu uliyoifanya kwa niaba ya Watanzania wote, tunaopigania ukombozi, wasiopigania, na vizazi vyetu vyote. Mungu atuondolee laana uliyoiumba kwa kusema haya na atukomboe sisi na vizazi vyetu kutoka katika adhabu ya laana uliyoitengeneza.

Ninaomba kila anayesoma haya aseme "Amina".

NINATOA ONYO KWA WANAOLEWA NA KUANZA KUROPOKA MANENO YA KISHETANI WATUBU NA WASIRUDIE TENA.

TULIANZA NA MUNGU, TUKO NA MUNGU NA TUTAENDELEA NA KUDUMU NA MUNGU. SHETANI HANA HAFASI.


"Hatutaki kufanya makosa walioyoyafanya watu wa Haiti ambayo yanawagharimu hadi leo, kwa uropokaji wa watu wajinga wachache taifa linaweza kuangamia".

Mkuu Ubarikiwe sana...kwa hiki ulichoandika MUNGU wetu ni Mkuu hasindwi nakitu Anajua mawazo anayotuwazia kwahiyo SHETANI hana Nafasi na CCM watakaa pembeni kuanzia siku zijazo watu tunaingia kwenye Maombi yakufunga Seriously hadi Siku ya Uchaguzi GAMBAZ kwa dhulma walizoifanyia NCH hii wamekwisha this election
 
Hakika ninawaeleza,hali ya CCM hivi sasa ni tete,waasisi wa kudondoka kwa CCM ni Viongozi wa CCM wenyewe!!Natarajia kura nyingi za CCM kwa UKAWA.Waliotoka CCM ni wengi mno,waliojitambulisha hadharani ni wachache wengi wanaugulia moyoni ni maelfu kwa maelfu!!
Nimezaliwa miaka ya 70 na nimeishi vijijini ndani kabisa katika mikoa zaidi ya nane (Njombe,Arusha,Kagera,Morogoro ,Iringa,Rukwa,Mbeya,Pwani na Tanga) mijini pamoja na nje ya nchi.Kati ya mataifa yaliyokuwa na rasilimali ambazo asilimia 90 ya watu wa Nchi hiyo hawanufaiki nazo ni Tanzania.Tuna kila ina ya madini.tuna gesi na makaa ya mawe,tuna mbuga na misitu.ardhi safi na vyanzo vya maji,bahari,milima na mabonde yenye rutuba.Wananchi wa Tanzania ni "maskini wa kutupwa" kuna watu kesho yao ni kitendawili kigumu na wengine wapo hata jiji maarufu la Dar es Salaam. Maisha yamekuwa maigizo. Takwimu zinaonesha ujinga umeongezeka kwa asilimia za kutisha,vijana wengi hawajui kusoma wala kuandika.Wanaendelea na masomo ya Vyuo Vikuu ni wale wenye uwezo wa fedha na mali.Wengi wameshindwa kuendelea kwa sababu hawana uwezo ni mikopo ina utata mwingi..Mpaka leo tunavyoandika magonjwa ambayo yametokomea duniani Tanzania ndio mahala pake.Jiji la Dar limekumbwa na ugonjwa wa aibu wa kipindupindu na wengi wameaga dunia kwa sababu ya uchafu.Mahospitalini wagonjwa wamelala mzungu wa nne kwa magonjwa mbalimbali na wakina mama wakijifungulia mitaroni ama vichochoroni!!!..Upande wa pili,watoto wa vigogo wanasoma nje ya nchi ama katika shule ambazo ada ya mwaka ni Milioni 80.Matibabu yao ya mafua na kikohozi ni ulaya na Marekani.Mavazi yao yamedizainiwa na Madizaina maarufu duniani.Mapumziko yao ni Vegas ama London.Benki zao ni Uswisi na Visiwa vya Uingereza. Vyakula vyao vinaagizwa kutoka Italy na Singapore,Usafiri wao ni ndege za kukodi na magari ya kifahari.Barabara za vumbi hawazijui asilani...Kuing’angania CCM ni miongoni wa matatizo yetu Watanzania.Wakati umefika ni LAZIMA IONDOKE ili kama itakuwa na Jipya IJITAFAKARI….
 
Ntamshangaa mwanasiasa atakayejiunga na cdm kwa kuvutiwa na kampeni ya "toroka uje" kampeni ambayo watoto wa kitaa wanaitumia kuwamimba mabinti wa geti kali.

Endelea kushangaa sana kama Magufuli anavyoshangaa. Jahazi ndo linazama pyuuuuuuuu ccm chaliiiiii chaliiiiii ndembendembeeee.
 

Close
CQIJgNDWUAAVA64.jpg:large

 
Hehehe.. ulongooo

mkuu hii avatar yako mkuu huyu jamaa anaondoka leo Unguja na Ethiopia Airways kurudi kwao, limekuja zanzibar wiki 2 linakamua tu sasa sijui kaja tafuta location za kucheza movie, nimeona nikamkumbuka huyu kaka ni mcheshi sana,
 
Nitafurahi Chenge, Rostam wakiwa miongoni mwa watorokaji.!
 
Nitafurahi Chenge, Rostam wakiwa miongoni mwa watorokaji.!

Kwa nini mmeshindwa Kuyafukuza hayo mafisadi? Mbona umemsahau na Kikwete na wengine weeengi. Ccm ni choo. Toroka ujeeee
 
Mr Chin utuletee Video na Picha za tukio usiku basi maana usifanye upendeleo sie wote watanzania :smokin: !
 
Mr Chin utuletee Video na Picha za tukio usiku basi maana usifanye upendeleo sie wote watanzania :smokin: !
Mr Chin katundikiwa dripu saa hizi...
Hahahaaa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom