Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

:cool2:Wana jamii huku tetesi zikiendelea kuvuma kuwa Leo kuna baadhi ya makada wa CCM wakiongozwa na Mh. KINGUNGE KOMBALE, binafsi naona balance ya CDM kuondokewa na DR. SLAA na kumpata KINGUNGE kuwa mzani unaonyesha kuwa kuziba pengo la Dr. Slaa labda wapate akina KINGUNGE 1,000,000. :angry:

Kama Slaa ni sawa na akina kingunge 1,000,000 je baada ya kuondoka ameondoka na nani?
 
Mkuu, sio CHADEMA hiyo bali ni UKAWA - NCCR, CDM, CUf na NLD. Mbona unajikita kwa mmoja tu.


HAO WENGINE NI MIKIA TU NDIYO MAANA SAWATAJI, CHAMA MWENYEKITI WAKE HATA UBUNGE ANAZOMEWA NA WANANCHI WAKE, CUF ILISHAFUNGA NDOA NA CCM KULE ZNZ. CDM akiugua mafua tu MBATIA HOI. HUYU SI MSEMAJI WA MBOWE?
 
Jamani hakuna updates?Maana wengine simu zetu hazina chaji tunachungulia tu.
 
:cool2:Wana jamii huku tetesi zikiendelea kuvuma kuwa Leo kuna baadhi ya makada wa CCM wakiongozwa na Mh. KINGUNGE KOMBALE, binafsi naona balance ya CDM kuondokewa na DR. SLAA na kumpata KINGUNGE kuwa mzani unaonyesha kuwa kuziba pengo la Dr. Slaa labda wapate akina KINGUNGE 1,000,000. :angry:

Kwa hiyo CCM mnammiliki SLAA, Safi sana bilioni 4.8 kala kilaini alafu anajidai ni mzee wa Mihogo.CCM hela mliyomnunulia Slaa ni liability 100%.
 
Hapa ni Leo Bahari Beach DSM
Kampeni dhoofisha CCM na kukaribisha wageni kuzinduliwa Leo. Nadhani ni ITV watakuwa live saa kumi jioni.
#TOROKAUJE
#NatakaKuchekaNajikaza

Uliona wapi mtu akabembelezwa kwa hila zote ili akapate jambo zuri? Kama ukawa kuna neema iweje muwabembeleze watu hata kwa kuwapa hela ili waje ukawa? Kama mna neema si bora muwe wachache ili muifadi!! UKAWA ni genge la matapeli, walaghai na wahalifu.
 
humu kuna watu wana akili za king'ombe vibaya halfu utakuta ni kijana.. yenyewe yanafurahia malori yao tu yanavyoyabeba. chama cha mang'ombe oyeee.... hahhahahahaaaaa
 
muda huu tunahitaji ata nguvu ya shetani kuhakikisha ccm tunaichoma moto!

Hapana, hatuhutaji nguvu ya shetani ila nguvu ya Mungu tu. Tunapaswa kutubu, kwa hiyo dhambi, tunafuta huo usemi kwa damu ya YESU Kristo, damu inenayo mema.Sisi tulio nuruni hatuhitaji msaada wowote wa giza, aliye upande wetu Mungu mkuu anajitosheleza. Kwa jina la YESU hatuhitaji msaada wa shetani, tunakataa na kutengua kwa jina la YESU, na pia tunakuja mbele zako Mungu kwa toba kwa uovu huu.
 
kodolea macho tv ya taifa itv kuanzia saa 10 .

mkuu ndivyo mlivyo? Nauliza tena ndivyo mlivyo?

Mmejengwa ktk misingi ya uongo na uzushi na mnaaminishana huo uzushi na uongo na mnapongezana na kutiana mioyo juu ya uongo na uzushi??

Mm niko pemben nasubiria muumbuke
 
Back
Top Bottom