Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Na refresh kila baada ya dk 3 ili nione mtu kaandika " Hao hapo ITV au Azam Two"... lakini wapi! Dah!
 
Jina tu la kampeni, TOROKA UJE, yaonyesha ni wahuni tu! Alafu nashindwa waelewa ukawa, kwamba mmefurahi sana hawa wakongwe wa ccm ambao inasadikika wanakuja ukawa au? kina Kingunge na wenzake? HATARI sana, hii inaenda kukijenga tena chama cha ccm kwa kuondokana na wakongwe vigeugeu, ccm ingetingishika kama vijana kina Makamba, Kigwangala, Nchemba na wengine wangekuwa wanakuja huko, naona hawa wana ushawishi, au ingekuwa habari ya mujini kama Warioba angesema anajiunga ukawa, mpaka sasa kama kweli wanafika ukawa hao hizi ni point kwa ccm.
Tambwe Hiza,Bulaya,Lembeli,n.k hawa ni wazee?
 
Hapa ni Leo Bahari Beach DSM
Kampeni dhoofisha CCM na kukaribisha wageni kuzinduliwa Leo. Nadhani ni ITV watakuwa live saa kumi jioni.
#TOROKAUJE
#NatakaKuchekaNajikaza
toroka.jpg
 
Sisi CCM tutashinda tu,mana nchi hii bado inawajinga wengi,kama jana tumewadanganya wanafunzi tutawapa mikopo ya biashara na wakatushangilia mbaya.Hii ndiyo ccm bibie
 
Itakuwa saa ngapi?

Je,itakuwa live?

Na kama itakuwa live,ni kupitia tv gani?
 
CDM Mtaacha matamasha lini? mtaalamu wenu kishaondoka CDM imebaki jina, lundokewa kwa ZZK na Dr Slaa si kitu chepesi. Dr Slaa ni sawa na akina kingunge 100,000.
 
Aaaaaagh mbona hakuna sahani na majiko ya nyama choma???? sijiiiiiiiiiiiiii
 
Jina tu la kampeni, TOROKA UJE, yaonyesha ni wahuni tu! Alafu nashindwa waelewa ukawa, kwamba mmefurahi sana hawa wakongwe wa ccm ambao inasadikika wanakuja ukawa au? kina Kingunge na wenzake? HATARI sana, hii inaenda kukijenga tena chama cha ccm kwa kuondokana na wakongwe vigeugeu, ccm ingetingishika kama vijana kina Makamba, Kigwangala, Nchemba na wengine wangekuwa wanakuja huko, naona hawa wana ushawishi, au ingekuwa habari ya mujini kama Warioba angesema anajiunga ukawa, mpaka sasa kama kweli wanafika ukawa hao hizi ni point kwa ccm.

Utaelewa tu
 
Habari Mpasuko!

Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.

Tutegemee kuyaona mengi!

Chanzo: Blog Habari
Hatuji Ng'ooo

Chama chetu CCM ndo chama imara kabisa ambacho mgombea wetu ameonyesha kuwa anaafya ndo maana hata wapambe wetu na viongozi wengine wa chama tunaujasiri wa kuwakebehi na kuwadhihaki wagonjwa kuanzia wale walioko kwenye majukwaa na wale wote walioko mahosipitalini hasa wale wanaolala wa nne wanne ana hata akina mama wanaojifungulia chini hatujali manake hao wote ni wagonjwa watarajiwa sisi na familia zetu tutatibiwa ulaya na kama wake zetu wanataka kujifungua watajifungulia ulaya au ikulu manake kule hakuna wodi ya wagonjwa hahahah

Yaani sisi ni chama imara manake hata tukiugua tunaenda kutibiwa ulaya na India na marekani hatuna taim na wagombea ambao ni wagonjwa wala wananchi ambao ni wagonjwa mahosipitalini ndo maana hatawengine wakilala chini hatujali manake tutaenda kutibiwa njeee

Hata kama dawa hakuna sisi matibatu tunapata nnjee ya nchi , hata wauguzi na madakari wazipolipwa mishahara mizuri hatujali manake hatuna taim na migonjwa ndo maana hata kipindupndu kikisambaaa nchi nzima hatujali na hatuna taim na wagonjwa watarajiwa

yaani mtachonga sana lakini sisi chama letu hakuna hata mmoja ambaye ni mgonjwa mtarajiwa yaani hata tukirudi ulaya tukiwa tumekufa haijalishi tunajua tutapokelewa kistaarabu kwa ving'ora na rambi rambi nyingi zikiongoza na viongozi wa chama na serikali

Hahahahaha CCM oyeeeeeeeeeeee

Wagonjwa wote mlioko mahosipitalini na wagonjwa watarajiwa mlie tuuu
 
Back
Top Bottom