Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Mpaka sasa hakuna aliyewatuhumu watoro hao kwa uchafu wowote.Hivyo sitarajii waanze kutukanwa baada ya kupokelewa.ahsanteni.Karibuni wageni wetu tuungane kuimaliza ccm.
 
CDM Mtaacha matamasha lini? mtaalamu wenu kishaondoka CDM imebaki jina, lundokewa kwa ZZK na Dr Slaa si kitu chepesi. Dr Slaa ni sawa na akina kingunge 100,000.

Kumbe hao uliowataja bado wapo?nilikua nshawasahau.halafu mlisema akiondoka zito chama kitakufa.
 
simba.png

Taarifa za Uzushi Kuhusu Waziri Sophia Simba kujiunga Chadema ni Uwongo.Taarifa za Uhakika zinasema Mh Sophia Simba Alikuwa kikazi Nchi Marekani kwenye Msafara wa Rais Kikwete na anatajariwa Kujerea Nchini Leo.

nchimbi1.jpg
 
ccm wana kwenda chooni kila saa. Hii itakua Ngumi ya Tumbo Kali Sana.
 
:cool2:Wana jamii huku tetesi zikiendelea kuvuma kuwa Leo kuna baadhi ya makada wa CCM wakiongozwa na Mh. KINGUNGE KOMBALE, binafsi naona balance ya CDM kuondokewa na DR. SLAA na kumpata KINGUNGE kuwa mzani unaonyesha kuwa kuziba pengo la Dr. Slaa labda wapate akina KINGUNGE 1,000,000. :angry:
 
CDM Mtaacha matamasha lini? mtaalamu wenu kishaondoka CDM imebaki jina, lundokewa kwa ZZK na Dr Slaa si kitu chepesi. Dr Slaa ni sawa na akina kingunge 100,000.

Kumbe ile dawa ya usingizi niliyokuchoma inachukua muda hivi kuisha?
 
Mwisho wa siku inabidi tuungane tuitoe CCM
 
muda huu tunahitaji ata nguvu ya shetani kuhakikisha ccm tunaichoma moto!

Katika Jina La Yesu, nakuamuru ufute kauli yako hii inayohatarisha taifa na vizazi vyake.

Mimi nimpenda mabadiliko na pengine ni mhanga wa ushetani wa ccm kuliko wewe, lakini suala la kuanza kutuhamisha kutoka ccm kwenda kwa shetani, ninalikataa katika Jina La Yesu.

Ninakuamuru ufute usemi wako huu na usirudie.

Ukikataa kwa kiburi au kutokujua, au kwa sababu yoyote ile, madhara yake yakupate wewe na watakao kushabikia.

Lakini katika Jina la Yesu, ninaiungama dhambi hii mbaya na kuu uliyoifanya kwa niaba ya Watanzania wote, tunaopigania ukombozi, wasiopigania, na vizazi vyetu vyote. Mungu atuondolee laana uliyoiumba kwa kusema haya na atukomboe sisi na vizazi vyetu kutoka katika adhabu ya laana uliyoitengeneza.

Ninaomba kila anayesoma haya aseme "Amina".

NINATOA ONYO KWA WANAOLEWA NA KUANZA KUROPOKA MANENO YA KISHETANI WATUBU NA WASIRUDIE TENA.

TULIANZA NA MUNGU, TUKO NA MUNGU NA TUTAENDELEA NA KUDUMU NA MUNGU. SHETANI HANA HAFASI.

"Hatutaki kufanya makosa walioyoyafanya watu wa Haiti ambayo yanawagharimu hadi leo, kwa uropokaji wa watu wajinga wachache taifa linaweza kuangamia".
 
hii habari imeletwa humu jf na mtu, yeyote anaweza kupost anachotaka, sio lazima kiwe ukawa au ccm. hata mimi naweza kupost jambo nikasema ni act nk...
 
CCM mmempokea nani?! Mikutano ya Magufuli anapokea makatibu wa wilaya na watu waliotaka kugombea ubunge wakakosa!!
 
CDM Mtaacha matamasha lini? mtaalamu wenu kishaondoka CDM imebaki jina, lundokewa kwa ZZK na Dr Slaa si kitu chepesi. Dr Slaa ni sawa na akina kingunge 100,000.

wewe k I m a anini, kwanza hujawahi kuishi kwenye siasa za upinzani, kwanza unyamaze nalabuk
 
hii habari imeletwa humu jf na mtu, yeyote anaweza kupost anachotaka, sio lazima kiwe ukawa au ccm. hata mimi naweza kupost jambo nikasema ni act nk...

Kwenye ma facebook, twitter na Instagram wote walio post ni UKAWA tena watu wenye heshima zao.

Queen Esther
 
CDM Mtaacha matamasha lini? mtaalamu wenu kishaondoka CDM imebaki jina, lundokewa kwa ZZK na Dr Slaa si kitu chepesi. Dr Slaa ni sawa na akina kingunge 100,000.
Mkuu, sio CHADEMA hiyo bali ni UKAWA - NCCR, CDM, CUf na NLD. Mbona unajikita kwa mmoja tu.
 
CDM Mtaacha matamasha lini? mtaalamu wenu kishaondoka CDM imebaki jina, lundokewa kwa ZZK na Dr Slaa si kitu chepesi. Dr Slaa ni sawa na akina kingunge 100,000.

Hawa wananunulika na CCM na hawafai kwenye chama,Tokea lini mwana ccm kawapenda wapinzani?Waje ccm kuongeza nguvu ila UKAWA ni mpango wa Mungu
 
hata kingunge mmoja nayo ni Point ktk ushindani kama huu!!! usiubeze

baada ya muda naye ataitwa kapi!!!

na atanyang'anywa fursa zote alizopewa za Ubungo stend..

yetu macho!!

:cool2:Wana jamii huku tetesi zikiendelea kuvuma kuwa Leo kuna baadhi ya makada wa CCM wakiongozwa na Mh. KINGUNGE KOMBALE, binafsi naona balance ya CDM kuondokewa na DR. SLAA na kumpata KINGUNGE kuwa mzani unaonyesha kuwa kuziba pengo la Dr. Slaa labda wapate akina KINGUNGE 1,000,000. :angry:
 
Vipi Nchimbi,Mwapachu na Kingunge mmewafungia Msoga Beach au Chatto?!
 
Back
Top Bottom