Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Huu uzi ufungwe maana sidhani kama kuna ukweli....
 
Any updates please maana hamna namna sasa tushakosa haya mambo kwa kuendelea kulitumikia taifa.
 
Jina tu la kampeni, TOROKA UJE, yaonyesha ni wahuni tu! Alafu nashindwa waelewa ukawa, kwamba mmefurahi sana hawa wakongwe wa ccm ambao inasadikika wanakuja ukawa au? kina Kingunge na wenzake? HATARI sana, hii inaenda kukijenga tena chama cha ccm kwa kuondokana na wakongwe vigeugeu, ccm ingetingishika kama vijana kina Makamba, Kigwangala, Nchemba na wengine wangekuwa wanakuja huko, naona hawa wana ushawishi, au ingekuwa habari ya mujini kama Warioba angesema anajiunga ukawa, mpaka sasa kama kweli wanafika ukawa hao hizi ni point kwa ccm.
 
teh teh teh. this is too low Mkuu . jaribu kushirikisha ubongo wako upya.
 
Back
Top Bottom