Lowassa kuongoza kampeni ya 'Toroka Uje'

Aisee kuna watu watakufa kwa pressure mwaka huu...kila siku mapya yanaibuka, waoneeni huruma wale wa upande wa pili...ni motoooo, :flame: hapakaliki mtaa wa pili
 
Sio mapya ni wale waoga kina mzee "bruce lee" wanaanza kupata ujasiri.
Nawengine washaanza kupewa makavu jukwaani basi inabidi tu wavuke.
Hakuna namna tena
 
Leo kuanzia saa 8 kamili mchana kutakuwa na UZINDUZI wa OPERATION ‪#‎TOROKA_UJE‬ ikiongozwa na kamanda wa MAAMUZI magumu EDWARD LOWASSA.
Kwa taarifa za Kiintelijensia VIGOGO wafuatao kujiunga CHADEMA Mwapachu, Kingunge,Karamagi, Sophia Simba, NCHIMBI na wazito wengine 15
CCM mwaka huu kazi mnayo.
Ukumbi ni BAHARI BEACH DSM na itarushwa LIVE
 
Kituo gani kitarusha Live, lakini hamwoni; huyo kwenye bold mnamchukua ili iweje ??
 
Wa waaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaatoroka uje. Hiki kimsemo jamani
 
hao wote mnaowadhani ni makada wa ccm kindaki ndaki. mtajiju
 
Naanza kuona hii ishu ipo KIMKAKATI zaidi kwa sisiemu, ukawa watakuja fungua macho tarehe 30.10.2015.
 
Hata Pinda atakuwepo kwenye list ya wanaotoroka CCM!
 
hii ukawa mmetupiga mpaka naanza kuwaogopa.Lowassa tusamehe baba.
 
Back
Top Bottom