Yaani Slaa habari zake zimekuwa za kuandikwa na gazeti la Sani! Ahahaha chezea siasa wewe kwishinie!!!!!
Wale wanaotegemea mwenge uwaokoe,Hawachomoki akina nani sasa?
Nchimbi, sophia, kingunge, mwapachu, na john magufuli mwenyewe
Yaani Slaa habari zake zimekuwa za kuandikwa na gazeti la Sani! Ahahaha chezea siasa wewe kwishinie!!!!!
"if Your Own Cat Start Bite Your Sons Instead Of Rats,their Is No Any Other Options Than Chasing That Cat Out Of The House"
teh teh tunaisubiria kwa hamu mkuu ni sindano za masaa tu adi October 25
VIVA UKAWA!!!
Leo mnaongea kinyonge hadi mnatia huruma.Hata aende nani, maadamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi ndiye raisi wa JMTZ hakuna wa kukitoa Chama Dola madarakani, tambueni hilo!
Habari Mpasuko
Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.
Tutegemee kuyaona mengi!
Chanzo :Blog Habari