Kisambo
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 850
- 531
Chadema ni wazito wa kufikiri..hapa suala si ugonjwa au uzima..wote ni wagonjwa...ila hapa tunaongelea ugonjwa ambao unaathiri ubongo na uwezo wa kufanya maamuzi...Huyo Magufuli mzima?Vile vi battery kwenye moyo vya kazi gani?
Loliondo alienda kufuata nini?
Huna habari anatembea na kibobo cha dawa?
Hadi hapo nani tia maji,tia maji?
Macho yasikudanganye ukadhani.......
Na wasivyojitambua hao maskini washabiki wa Chadema maslahi wako bize kuchekelea mambo haya!
Julius hujui kuwa hakuna yeyote mpya zaidi ya yule jamaa jirani yake malafyale, yule jamaa mvaa miwani mwenye mashavu yaliyonona...
Yule kibabu na mzee wa "bruce lee"
Mwisho kabisa kuna wale wenyeviti wale eaoga waliokuwa wanaangalia upepo...
Unataka listi gani mzee.
Hakuna usajili mpya ni walewale.
ha ha ha.
Chadema ni wazito wa kufikiri..hapa suala si ugonjwa au uzima..wote ni wagonjwa...ila hapa tunaongelea ugonjwa ambao unaathiri ubongo na uwezo wa kufanya maamuzi...
Navyowajua watanzania, jamaa watamsoma afu watakuwa wanamsuburia kipindi nyaya zimelegea wanamchomekea mikataba aanguke wino!
Kumbe ndivyo mnavyojidanganya?
Magufuli alivyonunua ile meli mbovu,alivyokurupuka kukamata meli ya samaki ilikuwaje?
Hapo akiwa waziri tu aliweza kulisababishia taifa hasara kubwa hivyo,vipi akiwa rais?
Huo ubongo wake ambao haujaathiriwa haya ndio maamuzi aliyoyafanya.
Acha kuishi kwa nahadharia,subiri ujionee Tanzania mpya chini ya Lowassa.
Hivi ndio vitu vya msingi vya kujiuliza na kitu chochote kile lazima kujiuliza kabla hakija tokeaIsijekuwa mbio za panya..... kwa uzoefu wangu, wapinzani baada ya uchaguzi na matokeo kutangazwa huwa hawaridhishwi na kupinga vikali, lakini mwisho wa siku huishia kuwa wapole. Swali: Mmejipanga vipi kusimamja malalamiko ya kudai kitu ambacho mtakuwa mkikikidai kuwa ni haki ambayo kwa wakati huo baada ya uchaguzi? Je, Endapo matokeo hamtayakubali, mna ubavu wa kutumia nguvu ya umma ambayo ndio slagan yenu, angalau hata kwa siku 5 mfululizo mkiipinga serikali iliyowekwa madarakani kwa mujibu wa matokeo? Uzoefu unaonyesha watanzania sio wavumilivu wa kusimamia jambo kwa umoja kwa muda mrefu mfululizo.
Hayawi hayawi hatimae yamekuwa,Kwa miaka mingi kwenye chaguzi Ccm wamekuwa wakifaidika na utamaduni wa kubeba kura kutoka vituoni na mabox kuelekea halimashauri.Habari Mpasuko
Lowassa Kuzindua kampeni ya Toroka Uje, kesho Bahari Beach Hotel.
Tutegemee kuyaona mengi!
Chanzo :Blog Habari
Kwa nini wameamua kutumia neno "toroka"?
]Haa haa dah! the guy is genious
teh teh teh .... sasa ni matetemeko siyo mafuriko tena .... Jamaa wa kijani wanahamu 25 october ipite
wapi hiyo mkuu amilyroley
Chadema ni wazito wa kufikiri..hapa suala si ugonjwa au uzima..wote ni wagonjwa...ila hapa tunaongelea ugonjwa ambao unaathiri ubongo na uwezo wa kufanya maamuzi...
Navyowajua watanzania, jamaa watamsoma afu watakuwa wanamsuburia kipindi nyaya zimelegea wanamchomekea mikataba aanguke wino!
Kwa sababu wakiomba ruhusa hawatapewa!!!!:llama:Kwa nini wameamua kutumia neno "toroka"?