rip faza_nelly
JF-Expert Member
- Feb 19, 2018
- 6,643
- 9,064
Mzee mbona unatoa siri za kambi sasa[emoji3][emoji3]Hivi unajua mkimchukua binadamu mzima, mmoja akashika mabegani na mwingine akashika miguuni mkimchekecha tu kama chekecheo mara 45 hamalizi siku saba anakufa akiwa amelala?