Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Ile clip sijui imetolewa lakini maelezo ni haya hapa.
F6AB31B0-8743-45AA-A711-A5E579F2916A.png
 
“ issue ni yalichezwa magumashi 4months back, mzigo mtunzaji akawa dogo, baada ya muda akaingia tamaa na baada ya kupoteza maboya kumbe alihamisha mzigo wote faster wiki chache nyuma halafu alivoona anafuatwa watu wanataka mgao wao dogo karesign faster na mkopo aliokua nao pale akalipa halafu akapotea mitaa ile, ndio haki ya watu waliitafuta bila mafanikio sasa tuendelee kusubiri tuwe watulivu lakini dodondoo ni dhulma dhulma iliyoambatana na tamaa,
Aise

Ova
 
Lakini pia inaweza amount isiwe hiyo.

Mzee wake alifanya mahojiano na AyoTV tena alichosema sio mambo ya mapenzi na mtoto wao alishare na wao angalau 3/4 ya kilichomfanya atoke Kahama kurudi Kibaha nyumbani. Pia alisemama mtoto wao alikuwa na stress sana tangia aache kazi. Akamalizia hawezi kuongea yote waliyoongea na mwanae anawaachia jeshi la Polisi wafanye kazi yao.

So kwa vyovyote vile chanzo cha kifo kitakuwa kinatoka kule kazini kwake..
Stress ya nini au mambo ya kazini ?

Ova
 
Mmh sasa hii kweli ndio inaweza pelekea mtu afanyiwe umafia wa namna hio? Sidhani there is more than that.

Something has to be so emotionally hurting for a sweet Revenge to occur. Unless uniambie walikuwa intimacy na huyo boss wake na ikatokea boss akajua kuwa soon anaenda kuolewa na mtu mwengine kama kawaida ya watoto wa kike na utapeli wao ndio boss aka plot hio mission ili akikataa amtimue kazini kama kumkomesha.
Dah
Eti watoto wa kike na utapeli wao
Mnatuonaje lakini?
 
Stress ya nini au mambo ya kazini ?

Ova
Obvious itakuwa mambo ya kazini!! Ndio maana Mzee wake kaweka wazi sio ishu za mapenzi. Mzee ni msomi so kaacha Polisi wafanye kazi yake, yeye hawezi mwaga kila kitu kwa vyombo vya habari anayoyajua kashawashirikisha Polisi.

Tusubiri soon kila kitu kitakuwa wazi!!
 
osama mwenyewe ilianzia kwenye simu kosa lilitokea hapo.
Osama haikuanzia kwenye simu,jaribu kutafuta kuna thread ilitolewa na FBI na nadhani mzee ,JBourne59 alishatoa thread yake kama sijakosea,kiufupi wakati wa operesheni kule Tora bora walimkamata kijana mchunga mbuzi milimani na kumuhifadhi kama mwezi na kutuma finger print zake ikagundulika alishawahi kuingia USA wakimfata Mohd Atta na baadhi walipita na baadhi walidunda na huyo alikuwa mmoja wao na baada ya kumgundua wakampa kibano akaja akamtaja mtu ambaye ni namba 2 kwa Osama na wamarekani hawakuwa nae ktk data base zao
 
Hivi wenzetu makanisa yao wanapokeaga simu kanisani??
kama alipokelea nje inamana alirudi ndani akaiacha simu ndio kwenda kwa huyo mpigaji??
Nahisi huyu dada alicheza deal chafu, na Mastermind akaahidi kumlinda, mastermind ndio aliempigia simu atoke nje, si ajabu alimwambia em toka mara moja tuyajenge acha simu siunajua mchongo tuliofanya ni nyeti
 
Hivi wenzetu makanisa yao wanapokeaga simu kanisani??
kama alipokelea nje inamana alirudi ndani akaiacha simu ndio kwenda kwa huyo mpigaji??
Nahisi huyu dada alicheza deal chafu, na Mastermind akaahidi kumlinda, mastermind ndio aliempigia simu atoke nje, si ajabu alimwambia em toka mara moja tuyajenge acha simu siunajua mchongo tuliofanya ni nyeti
Umewaza nje ya box ila wanadamu mda WA ibada WA kusema na Mungu unapokeaje simu!! kaahh
 
Back
Top Bottom