Usicheze na kahama na kahama kuna matajiri alafu wenye roho za ajabu? Pili, huyu dada alikuwa mapepe? Tatu, kabla ya kwenda kibaha alifukuzwa kwa sababu za kiofisi ijulikani ni utovu au mengine kiofisi. Nne hakuwa na cheo hiko ni Afisa mikopo.
Tano, matukio ya kahama kesi za kufanyiana unyama zipo sana sio mapenzi, sio biashara na n.k. Uzuri wa huyu dada inaonyesha alikimbia kuofia vitisho kwa mwanamke mwenzake au mapenzi?
Swali muhimuYani sababu ya kumuua yule mama ilikuwa nini?
Mama wa ITVChanzo cha Kifo kipi???
Neema ndio jina lake pia Martha ni jina lake anamajina 2Neema yupi tenaa?!
Natoka na only Pisi KaliWe mshikaji huyu alikua demu wako Nini au mlileteana ugaigai maaana yaonekana mwajuana sanaa
Una hoja...Inawezekana aliandika hiyo Cheki ana akachikichia Hela! Huwezi kuua Mtu Kwa Kukataa kuandika Cheki... Lakini unaweza 'Kuua' Mtu Kwenye Dili la Bilioni..!!!
Sasa information ya tukio itasaidia nnSasa hapa tunaweza sema mission imefeli au walidhani ataungua mwisho atakufa lakini hakufa palepale inawezekana wakati amelazwa alitoa information za tukio lote.
We jamaa una lako jambo sio bure!Kila hoja ya kuwaprotect wauwaji inakufurahisha sana. We jamaa una lako jambo sio bure!
Je Kigogo 2014 amepatikana?Wewe ni mjinga, upo empty sana. Usibishe vitu usivyovijua, hakuna siri kwenye technology watu wakiamua wanakupata na cha moto utakiona.
wapunguze tamaaKabisa ila me nachoona cha msingi kabisa dada zetu walio wazima wapunguze tamaa... Watu wamevurugwa
Mipango mtu wangu Amna makosaHawa wauaji nahisi kuna hujuma walifanyiana ama walifanyiwa hasa kwenye sindano na mafuta
1. Sindano sumu haikuwa kali
2. Mafuta yalikuwa kidogo
Wangefanya kwa usahihi marehemu asingeweza hata kuamka pale chini na kukimbia
Hata mm sikumuelewa huyu jamaaNdugu yangu umeuliza maswali au ?
Nimeelewa ulichoandika, ila sijaelewa namna ulivyoandika!
Hakuna mchambuzi hapo! Kakopi kila kitu!Mungu mbona kama kanakili almost kila kitu toka kwenye uzi wangu?![]()
Aisee shukrani sana mkuuUpdate browser yako to a new version ama check compatibility ya browser na jamiiforum web
Sent from my SM-A047F using JamiiForums mobile app
Yupo sahihi ukiwa bubu lazima uwe kiziwi piaBubu ndio hasikii?umechapia kidogo