Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Walishikwa wa Dada Wa ITV au ni wahisiwa maana mahakama ndio inatoa muhalifu

Ujue kutofautisha

Mtuhumiwa

Mahabusu

Mhalifu
Mhalifu lazima kwanza awe mtuhumiwa,ila mtuhumiwa sio lazima awe mhalifu.Sasa uliposema hadi leo hawajakamatwa ulimanisha nini?Hata hao waliomuua huyo dada watakakapo kamatwa watakuwa ni watuhumiwa kwanza.
 
ohh mie huu uzi wako sjausoma wote nimeingia huko nakutana nayo nikawa nasoma soma na comments nikasema nishee huku itabidi umwambie akupe credit
Soma hizi kisha rudi kwenye uzi
2. Kingine katika upelelezi, jambo ambao nimeamua kutolipuuzia ni her last moments

(a) Mahusiano yake kazini/ wateja wake/ marafiki zake

(b) Kwa nini auwawe Kibaha eneo la nyumbani kwao na sio Kahama kazini kwake?

Hapa kuna makosa ya kiufundi ya wauaji yatagundulika

Mara nyingi muuaji hujiandaa kutofanya makosa wakati wa mauaji.

Kwanza ataandaa logistics za kumsaidia kutekeleza mauaji

Pili anaweza kuandaa wasaidizi

Hapa namaanisha atatumia chombo cha usafiri, anaweza kumpa mtu kazi kumfatilia target na atafanya mawasiliano
 
Mmh kwanini kuna kampuni moja mpya nadhani haina hata mwaka
Ipi hiyo tena
Screenshot_20230314-184949.jpg
 
Soma hizi kisha rudi kwenye uzi
2. Kingine katika upelelezi, jambo ambao nimeamua kutolipuuzia ni her last moments

(a) Mahusiano yake kazini/ wateja wake/ marafiki zake

(b) Kwa nini auwawe Kibaha eneo la nyumbani kwao na sio Kahama kazini kwake?

Hapa kuna makosa ya kiufundi ya wauaji yatagundulika

Mara nyingi muuaji hujiandaa kutofanya makosa wakati wa mauaji.

Kwanza ataandaa logistics za kumsaidia kutekeleza mauaji

Pili anaweza kuandaa wasaidizi

Hapa namaanisha atatumia chombo cha usafiri, anaweza kumpa mtu kazi kumfatilia target na atafanya mawasiliano
Kabisa
 
Uchunguzi wake utaanzia kazini kwake, maisha yake nje ya kazi, marafiki zake, wateja wake, mishe na dili zake, mawasiliano yake pamoja na mahusiano.. Hapa ni kwa ajili ya ku 'establish' Msingi wa kesi na 'motive' ya muuaji/wauaji.

Uchunguzi wa pili ni eneo lilikofanyika tukio.. Pori la Mitamba linalosifika kwa matukio ya mauaji, Mitamba halina tofauti sana na Mabwepande na kama linaweza kuchunguzwa vizuri kuna maiti ngingi mule zinaweza kuwa zimezikwa.
 
Wakati mwingine mnapopata habari kama hizi changanya na akili zenu. Hakuna cheo cha doctor mkuu, hakuna hospitali inaitwa Mwimbili, hakuna utaratibu wa kuandika cheki ya bilioni moja, hakuna utaratibu wa Boss kumpigia baba wa staff kuwa mtoto wake aache kazi
platozoom Soma elewa, usiwe na haraka ya kujibu unachojua. Rudia tena , rudia tena. Jipime na ulichojibu!!
 
Back
Top Bottom