Bado tupo kwenye hisia...Inawezekana Sio Mapenzi. Kama alikuwa analeta Kwao Mzigo ?
marehem nae analikua ana edit picha kukuza wowowo naona pazia na chuma vime pinda. Ngoja nikale mimi marehem hasemwi



Niliona huu uzi wake leo mchana, Nikajiuliza Hivi mshana Jr ndio Buyobe wa Twitter?Mungu mbona kama kanakili almost kila kitu toka kwenye uzi wangu?![]()
Marehemu aliitwa Neema/MarthaNeema yupi tenaa?!
Oohh.. sawa apumzike Kwa AmaniMarehemu aliitwa Neema/Martha
Hahaha Rey kama reyEver
Hawa wauwaji hawakuwa pro onesKabisa mkuu. Nilichofurahi ni kwamba simu za marehemu Martha zote aoiziacha kwenye handbag ndiyo akatoka nje ya kanisani. Hivyo ziko safe kwa ajili ya KAZI. Pili wauaji waliacha kwenye tukio vifaa vyote walivyotumia ikiwemo vichupa vya inayoaminika sumu, viatu vya marehemu na vitu vingine kadhaa. Hivi vyote ni mpango wa Mungu ili kuwakamatisha. Yaani upelekezi wamerahisishiwq mno. Maana register au niite barcode ya hizo sumu zitasoma na zitaanza tracing pia kuanzia kiwanda, manunuzi WA Kwanza mpaka wa mwisho. Washenzi hao Ngoja kinukishwe Mazima.
Sasa hapa tunaweza sema mission imefeli au walidhani ataungua mwisho atakufa lakini hakufa palepale inawezekana wakati amelazwa alitoa information za tukio lote.Hizi ishu huanza na kiasi kidogo, kisha kiwango huongezeka kila wakati, na walivyo washenzi ili usije ukagoma kufanya kazi, malipo yako yote unapewa in advance deni linabaki kwako
Inapofika kipindi cha kupiga ndefu hakuna majadiliano tena, wanakuja wanakubwagia fungu kisha wanakupa tarehe ya kufanya kazi...!
Kila hoja ya kuwaprotect wauwaji inakufurahisha sana. We jamaa una lako jambo sio bure!Alieua ana haki na alieuwa ana haki
Una hoja
Mkuu bado haijajulikana na kesi inaendelea bado!!Yani sababu ya kumuua yule mama ilikuwa nini?
Wewe ni mjinga, upo empty sana. Usibishe vitu usivyovijua, hakuna siri kwenye technology watu wakiamua wanakupata na cha moto utakiona.Nakuzidi vingi kubali
Kabisa ila me nachoona cha msingi kabisa dada zetu walio wazima wapunguze tamaa... Watu wamevurugwaWatu ni wakatili sana wallah
Asante mkuuMkuu bado haijajulikana na kesi inaendelea bado!!
....Hakuna hio Teknolojia! SI imeelezwa Hapo? It was just an Idea...which eventually Debunked !!
Hawa wauaji nahisi kuna hujuma walifanyiana ama walifanyiwa hasa kwenye sindano na mafutaSasa hapa tunaweza sema mission imefeli au walidhani ataungua mwisho atakufa lakini hakufa palepale inawezekana wakati amelazwa alitoa information za tukio lote.
Update browser yako to a new version ama check compatibility ya browser na jamiiforum webNipo nje ya mada nisamehewe!
Jamiiforums sijui wamebadili nini tena kwa tunaotumia browser imezidi kuchukiza,nipo nasoma main post mtu ana-reply uzi inanipeleka kwenye new post wakati sijamaliza hata kujua maudhui ya mleta mada.
Hiyo namna ya ku-like sasa,wameweka vijiboksi boksi mtu hata hujui ufanyeje bora ile ya emoj kuliko hii.
Vipi kama walishapokea malipo?Hawa wauaji nahisi kuna hujuma walifanyiana ama walifanyiwa hasa kwenye sindano na mafuta
1. Sindano sumu haikuwa kali
2. Mafuta yalikuwa kidogo
Wangefanya kwa usahihi marehemu asingeweza hata kuamka pale chini na kukimbia