Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 1,996
- 1,829
Upo sawahii kitu zaman tulikua tunaaminishwa hadi marehemu wanatobolewa macho...ila ilikuja julikana ni uongo
Upo sawahii kitu zaman tulikua tunaaminishwa hadi marehemu wanatobolewa macho...ila ilikuja julikana ni uongo
Yaki ya MAREHEMUNi kama baba ake anajua kitu....na he is very stable yani anaongea kwa kujiamini na anaamini mtoto atapata haki yake..
Hawajavunja sheria..sema wengine theory zao kuhusu chanzo cha kifo ni irrelevant na za kushangaza.. Mara boss wake ndo kamuua hakutaka aolewe na mtu mwingine, nkJe wanavunja sheria gani kwa kufanya hivyo!?
Huwezi kutumia gharama na nguvu kubwa hivi kwenye kisasi cha mapenzi.**Mkuu wake wa kazi anasema Martha aliacha kazi mwezi mmoja uliopita
**Baba wa marehemu anasema mtoto wake alitekwa na kupakiwa kwenye gari na sio bodaboda pia figo lake liliharibiwa inawezekana alipewa drugs ndo akapigwa moto
Hapa kisasi cha mapenzi au kazi aliyokuwa anafanya yaweza kuwa chanzo
watafirwaHapo wanakaa watu wanne mezani, kila mmoja na karatasi nyeupe na penseli sio kalamu ya wino, then kuna mtu wa tano hua anitwa analyst anakua anaeleza kutokea kwanza shinyanga yule mtu aliishije huko, atakuja analyst wa pili wa kibaha ataeleza wale wanne watandelea kuchora michoro ya penseli kila mtu kivyake, halafu baadae kuna kitu tunaita added information hizi hutoka idara mbalimbali ikiwamo labda TISS , nazo zinachorwa wakati huo wahisiwa wa mwanzo walishakamatwa muda mrefu yaani afisa upelelezi jeshi la polisi wilaya atashirikiana na RCO na RSO wake issue mapema mchana kweupe baadhi ya waliokamatwa watafirwa na kufinywa mapumbu hapo anti robery ndio watahusika na zoezi ay watapigwa shot za matakoni hadi mambo yataisha within 30 days kesi mahakamani tayari upelelezi utaendelea kukamilishwa taratibu kwa kuua mawasiliano ya wahusika mmoja baada ya mwingine hadi wajichuje wenyewe kama kuku wenye mdondo pumbavu zao, wahalifu hao wa huyo binti
Wabongo bana.. kila mmoja hapa ataleta theory zake za kijasusi na ukachero wa kufikirika
Kwenye jambo kama hili lazima mengi yatasemwa ni kati ya hayo mengi kuna clues muhimu zitapatikana.. Kuna kesi wahusika walikamatwa kizembe mno lakini chanzo kilikuwa mabishano mtandaoniHawajavunja sheria..sema wengine theory zao kuhusu chanzo cha kifo ni irrelevant na za kushangaza.. Mara boss wake ndo kamuua hakutaka aolewe na mtu mwingine, nk
Je wanavunja sheria gani kwa kufanya hivyo!?
Mganga hufanya kazi kwa maelekezo na ni lazima awepo mhusika wa kusimama kwa niaba! Mganga si kama nabii kwamba anaweza kwenda penye umati wa watu na akaanza kuhubiri habari za wokovuMshana we si mganga unaweza angalia ukatuambia ilikuwaje
Mganga hufanya kazi kwa maelekezo na ni lazima awepo mhusika wa kusimama kwa niaba! Mganga si kama nabii kwamba anaweza kwenda penye umati wa watu na akaanza kuhubiri habari za wokovu
Una HOJA usikilizweWatu waliweza kumuua waziri mkuu,Sokoine,sembuse huyu lay person!?kuhusu DNA kukutwa kwenye nguo au mwili wa marehemu Hilo,halipo,maana waliutia moto mwili!kazi ya benk alikuwa ameisha acha,
Kama watu walimuua yule mtangazaji wa ITV,aliyekuwa Hana mkono mmoja,na wakabeba mwili wakautupa makumbusho!!na hawajapatikana mpaka leo.
Hata huyo dada,ndugu zake,wazike tu maisha yaendelee,jeshi letu halina hali Wala motisha ya kufatilia vifo vya watu wadogo kama Hawa.
Nikajua waganga hujua tu kitu anaweza angalia
Hata kama wataishi miaka 10,000 bado siku zao zimehesabiwa watarudi mavumbiniUnadanganywa WATU WAMEUA MAELFU NA WAMEKUFA UZEENI MIAKA 90. NA
Kwani Mungu anakaa kanisani?unaondokaje ukiwa katikati ya ibada?? yan kama umeeka pause vile, Mungu akusubirie kwanza kisha utamrejea??