Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 1,656
- 1,694
Wahalifu wengi huchora tukio hata zaidi ya mwaka!Nakuongezea na moja!
Hata IMEI za simh hua zinapigwa nyundo! Wanabadili IMEI kama ni kwenye 5, wanaweka nane!
Line ya simu anasajiri kwa jina la mtu mwingine kabisa, vijana wenye njaa, ukimpa 50,000 ukamwambia sina namba za NIDA naomba nisajirie kwa jina lako anakubali, kumbe anaenda kusaidia mharifu!
Wahalifu wengi huchora tukio hata zaidi ya mwaka!
Mawasiliano yao ni Whatsapp na Telegram tu! No video call, no voice call no sms charts!
Anaweza zima simu siku mbili,na akizimia simu Dar anakuja washa akiwa Dodoma!
Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
Una HOJA baba mtoto Mwenyewe amekubali ni professional Killers