Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Polisi wetu wakiamua wanaweza kuwakamata wote hao.

Shida ni moja. Huwa wanaweka nguvu kwenye upelelezi wenye interest za Taifa ama watu wenye mahela.

Mfano mzungu wa tembo ule upepelezi ulikuwa mkali sababu ulikuwa na interest za seriakli na pia taasisi za kimataifa zilihitaji kujua matokeo

Pia kwa bilionea msuya. Matajiri wa madini na connections za bilionea msuya kwa wakubwa zilifanya upelelezi uwe mkali.

Mwenzangu na mie ukiuliwa hawapotezi muda
hata wale magaidi wa kibitii nao mambo yaliwekewa mkazoo balaa mpaka kuja kuwashika wengine kule amboni tanga. OSAMA liweza kusumbua miaka mingi bila kushikwa sababu aliishi like enzi za KRISTO no simu...no what ni barua tu
 
Police hawashindwi kupeleleza lakn ni lazima pawepo na msukumo fulani, upelelezi ni pesa.
Ukiibiwa ukienda police una pesa mwizi wako utaletewa hadi chumbani, sema shida utatumia gharama kubwa ukilinganisha na thamani ya ulichoibiwa. Mfano tv au simu utaambiwa lete ya vocha, waungie jamaa mafuta, lunch, maji ya kunywa.
Utamdaka mwizi wako hata mia mbovu hana utampeleka mahakamani atafungwa huna ulichopata. Gharama uliyotumia bora ununue simu au tv mpya uimarishe weakness point waliyoingilia wezi.
Hawa wezi ujivunia kwamba hakuna wa kuwafatilia
 
Familia iko kwenye msiba mzito. Tunawapa pole. Ni kifo kinachotokana na mauaji hivyo hakiwezi kukosa mijadala na msingi wa hiki kifo cha mauaji lazima kiwe na sababu, kiwe na viashiria.

Kiwe na mhusika/wahusika wakuu
Kiwe na bajeti
Kiwe na watendaji/watimiza lengo. Kwa msingi huu wauaji
Kiwe na mpango kazi
Kiwe na fool proof
Kusiwe na dosari kuanzia kupanga, kutekeleza na hatimaye kutawanyika na kumalizana kama kuna malipo ya mwisho yalikuwa bado

Uchunguzi wa kifo hiki ni rahisi sana na si chini ya watu 20 wanaweza kuhusishwa nacho, ambapo watachujwa mpaka watabaki si chini ya watano .. Na ni uchunguzi rahisi kutokana na makosa mengi waliyofanya wauaji.. Hawakuwa wajuzi maana wajuzi huwa hawaachi alama! Japo kuna kosa moja dogo sana hufanya na kufumua mpango wote.

Uchunguzi wake utaanzia kazini kwake, maisha yake nje ya kazi, marafiki zake, wateja wake, mishe na dili zake, mawasiliano yake pamoja na mahusiano.. Hapa ni kwa ajili ya ku 'establish' Msingi wa kesi na 'motive' ya muuaji/wauaji.

Uchunguzi wa pili ni eneo lilikofanyika tukio.. Pori la Mitamba linalosifika kwa matukio ya mauaji, Mitamba halina tofauti sana na Mabwepande na kama linaweza kuchunguzwa vizuri kuna maiti ngingi mule zinaweza kuwa zimezikwa.

Mitamba liko Kibaha njia ya kwenda Bagamoyo eneo linaitwa Pangani.. Sehemu kubwa ya pori la Mitamba ni eneo la wizara ya mifugo na uvuvi na kuna kipindi matapeli wa viwanja Kibaha walilivamia na kuwauzia watu viwanja mpaka serikali ikaingilia kati.

Marehemu ni mkazi mwenyeji wa Kibaha Kwambonde kakulia hapo, kosoma Tumbi nknk. Wazazi wake wanaishi hapo mpaka sasa na ni watu unaoweza kuwaita maarufu eneo hilo na hata kanisani kwao Tumbi. Kwanini muuaji/wauaji wakachagua kuja kummaliza 'nyumbani kwao'?

Marehemu alisafiri salama salimini toka kituo chake cha kazi Shinyanga mpaka nyumbani Kwambonde Kibaha. Pengine alitumia ndege, usafiri binafsi au wa jumuiya lakini alifika salama.

Je, wauaji walikuwa wanamfuatilia kote huko?
Je, wauaji ndio walimuita aje Kibaha?
Je, lengo lake la kuja nyumbani Kibaha lilikuwa ninini?
Je, mpango wa kummaliza Kibaha pori la Mitamba ulikuwa mpango plan A au B?

Marehemu siku ya tukio alikuwa kanisani na ndugu zake.. Ni wazi alipata wito wa kuitwa nje mara moja ama kwa ishara ya mtu alikuwa ndani ya kanisa ama kwa simu kwakuwa mikoba yake aliacha alipokuwa kaketi. Hakurudi!

Ni wazi walimuita walikuwa nje kabisa ya kanisa barabarani! Kanisa la KKKT Tumbi liko pembezoni mwa barabara ya kuelekea Tumbi hospital. Ni wazi kulikuwa na gari ambalo ama alipanda kwa hiari ama kwa lazima/Kutekwa.

Ni wazi safari ilianza kuelekea Pangani pori la Mitamba.. Macho ya marehemu yata 'reveal' kilichotokea ndani ya gari kwa hicho kipindi chote mpaka kufika Mitamba kumwagiwa Petrol na kuchomwa moto!



Ukurasa wa pili juu ya mpango kazi ambao ninaamini ndio plan A.

Wauaji waliona eneo salama la kummaliza ni eneo la nyumbani alikozaliwa. Wauaji ni wenyeji wa Kibaha wanaofahamu vema jiografia ya Kibaha hasa eneo la Mitamba Pangani ambako hakuna doria za polisi, kuko kimya na mbali na makazi ya watu. Pia ni eneo lenye gate away nzuri kwahiyo ni rahisi kupoteza maboya mtu anayekufuatilia.

Unaweza kutokea Kimara
Unaweza kutokea Baobab
Unaweza kutokea Kibaha maili moja eneo la shell
Unaweza kutokea NIDA
Unaweza kutokea picha ya Ndege
Unaweza kutokea Loliondo nk na kote huko mtu asijue umetokea Mitamba Pangani

Kwa vyovyote mwenye mpango wake alikodi watu wa kumsaidia kuutimiza
  • Dereva
  • Mfuatiliaji aliyekuwa kanisani
  • Mtu aliyempatia sindano ya sumu
  • Backup
  • Hapa kuna watu wa kati hawakosekani
  • Malazi, kama watekeleza mpango walitoka mbali ni wazi walilala gesti za maeneo ya Kibaha ama jirani na Kibaha.
Loose ends/makosa ya kiutendaji yasiyotarajiwa
Wajuzi hufanya rehearsal hata zaidi ya mara tano kutegemeana na mlengwa na bajeti na kila rehearsal hugundua makosa kadhaa na kuyarekrbisha.

Je, makosa makubwa kwenye hili tukio ni yapi?

1. Mtandao wa mawasiliano simu na jumbe za sauti na maneno
2. Kuhusisha watu zaidi ya mmoja
3. Kutochagua wajuzi wa kazi
4. Kutofanya rehearsal
5. Kumchoma sindano ambayo haikuwa na sumu kali au ambayo haikuchomwa kwa usahihi
6. Kudhani amekwisha kufa hivyo kutengeneza fool proof ya kumchoma moto uliomzindua
7. Pengine kuondoka eneo la tukio haraka bila kuhakikisha ameungua vizuri
8. Macho kubaki salama, yalirekodi kila kitu

Kwa dondoo hizo hii kesi ni nyepesi kuliko ya bilionea Msuya ana yule mzungu wa tembo. Marehemu alibaki kuwa hai kuanzia tarehe 3 march mpaka 9 alipoaga dunia. Siku sita ni nyingi sana kuweza kupata na kujua mengi

Damu ya mtu ni nzito na inanuka! Harufu hukoma haki ikitendeka
Kwa huyu damu ya mtu ni nzito kumbe
 
Hakuna kosa kubwa kwenye tukio la mauaji ya kupanga kama kukosea target

Hua inaitwa right target wrong plan then tunapata worse result end of event, yaani hakuna upande utanufaika hivo ni zero result, yaani mmoja kafa na aliedhani kapatia anahukumiwa kunyongwa kirahisi hivo ngoma droo, hapo wapelelezi wanajadili wakiwa wanavuta sigara au bangi na pembeni pana pombe kali maana haihitaji umakini wowote ule kugundua
 
ah ah cheque ya billion moja sio ah ah dah ingekua rahisi hivyo basi wafanyakazi wengi wa bank wangekua mabilionea..eh nani alifanya clearance ya hiyo cheque..halafu kwahiyo mtu unapigiwa tu simu uache kazi ah ah
Uwe unaelewa, nimeikuta sehemu na nimeileta ilivyo. Na hapo chini nimeeleza. Wala siyo mawazo yangu.
 
Hua inaitwa right target wrong plan then tunapata worse result end of event, yaani hakuna upande utanufaika hivo ni zero result, yaani mmoja kafa na aliedhani kapatia anahukumiwa kunyongwa kirahisi hivo ngoma droo, hapo wapelelezi wanajadili wakiwa wanavuta sigara au bangi na pembeni pana pombe kali maana haihitaji umakini wowote ule kugundua
right target wrong plan
 
Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.

Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.

Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.

Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
Game over.
 
Hapo wanakaa watu wanne mezani, kila mmoja na karatasi nyeupe na penseli sio kalamu ya wino, then kuna mtu wa tano hua anitwa analyst anakua anaeleza kutokea kwanza shinyanga yule mtu aliishije huko, atakuja analyst wa pili wa kibaha ataeleza wale wanne watandelea kuchora michoro ya penseli kila mtu kivyake, halafu baadae kuna kitu tunaita added information hizi hutoka idara mbalimbali ikiwamo labda TISS , nazo zinachorwa wakati huo wahisiwa wa mwanzo walishakamatwa muda mrefu yaani afisa upelelezi jeshi la polisi wilaya atashirikiana na RCO na RSO wake issue mapema mchana kweupe baadhi ya waliokamatwa watafirwa na kufinywa mapumbu hapo anti robery ndio watahusika na zoezi ay watapigwa shot za matakoni hadi mambo yataisha within 30 days kesi mahakamani tayari upelelezi utaendelea kukamilishwa taratibu kwa kuua mawasiliano ya wahusika mmoja baada ya mwingine hadi wajichuje wenyewe kama kuku wenye mdondo pumbavu zao, wahalifu hao wa huyo binti
 
Ukurasa wa pili
Juu ya mpango kazi ambao ninaamini ndio plan A
Wauaji waliona eneo salama la kummaliza ni eneo la nyumbani alikozaliwa
Wauaji ni wenyeji wa Kibaha wanaofahamu vema jiografia ya Kibaha hasa eneo la Mitamba Pangani ambako
hakuna doria za polisi, kuko kimya na mbali na makazi ya watu
Pia ni eneo lenye gate away nzuri kwahiyo ni rahisi kupoteza maboya mtu anayekufuatilia
Unaweza kutokea Kimara
Unaweza kutokea Baobab
Unaweza kutokea Kibaha maili moja eneo la shell
Unaweza kutokea NIDA
Unaweza kutokea picha ya Ndege
Unaweza kutokea Loliondo nk na kote huko mtu asijue umetokea Mitamba pangani

Kwa vyovyote mwenye mpango wake alikodi watu wa kumsaidia kuutimiza
Dereva
Mfuatiliaji aliyekuwa kanisani
Mtu aliyempatia sindano ya sumu
Backup
Hapa kuna watu wa kati hawakosekani
Malazi, kama watekeleza mpango walitoka mbali ni wazi walilala gesti za maeneo ya Kibaha ama jirani na Kibaha..

Loose ends/makosa ya kiutendaji yasiyorarajiwa
Wajuzi hufanya rehearsal hata zaidi ya mara tano kutegemeana na mlengwa na bajeti na kila rehearsal hugundua makosa kadhaa na kuyarekrbisha..

Je makosa makubwa kwenye hili tukio ni yapi?
1. Mtandao wa mawasiliano simu na jumbe za sauti na maneno
2. Kuhusisha watu zaidi ya mmoja
3. Kutochagua wajuzi wa kazi
4.kutofanya rehearsal
5. Kumchoma sindano ambayo haikuwa na sumu kali au ambayo haikuchomwa kwa usahihi
6. Kudhani amekwisha kufa hivyo kutengeneza fool proof ya kumchoma moto uliomzindua
7. Pengine kuondoka eneo la tukio haraka bila kuhakikisha ameungua vizuri
8. Macho kubaki salama, yalirekodi kila kitu

Kwa dondoo hizo hii kesi ni nyepesi kuliko ya bilionea Msuya ana yule mzungu wa tembo

Marehemu alibaki kuwa hai kuanzia tarehe 3 march mpaka 9 alipoaga dunia.. Siku sita ni nyingi sana kuweza kupata na kujua mengi

Damu ya mtu ni nzito na inanuka! Harufu hukoma haki ikitendeka..
Lakini na polisi ya bongo majanga sana , siku 6 alizoishi baada kuchomwa sindano ya sumu na moto, polisi walitakiwa wameshashika baadhi ya watuhumiwa, ina maana walisubiria hadi afe ndio waanze uchunguzi??? inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom