Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,972
- 22,922
Kuna watu mkatili sana, ila wasijidanganye anayeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga.
Siku zao zinahesabika
Siku zao zinahesabika
Kabisa, damu ya mtu ni nzito jamani.Kuna watu mkatili sana, ila wasijidanganye anayeua kwa upanga naye atauawa kwa upanga.
Siku zao zinahesabika
Then ni simple sana, marehemu alikuwa shinyanga inamaana pia maadui na marafiki wengi walikuwa wa shinyanga. Walimchoma moto kwa nia ya kuficha ushaidi hivyo ni wazi kwa jeshi letu hili la polisi lilivyo imara katika kesi za upelelezi nakuhakikishia Mshana Jr watakamatwa nina imani sana na jeshi letu la polisi pamoja na mapungufu yao ila wako smart. Muda ni mwalimu mzuri.Ishu ya sumu imekuja baada ya figo kufeli na wataalam wa tiba za moto walithibitisha kwamba ule moto majeraha yake yasingeweza kumuua
Hakuna ubuyu wowote anaandika ujinga tu na maswali ya kitotoMache jamaa atupatie ubuyu
Msibani ubuyu haukosekani
Japo yeye amejaribu kuweka mazingira mengine ambayo yanaweza kuwa sababu ya kifo cha martha
ni kweli mkuu umeandika vyemaNa wauaji hawakuwa wajuzi
Unatoa kijambio?Funga kijambio chako.we mbona unajua ccm kuwa wezi wa uchaguzi
Chanzo cha mabaya ni Pesa(kazi) na Wasichana(Mapenzi) chunga sana alishasema Salu T - Ngosha The Don.Baba yake anasema mwanae kamlea vizuri na alikuwa anatarajia kuolewa siku za karibuni. Inaweza kuwa kisasi cha mapenzi au kazi
Optography, or the idea that the eyes were able to record the last image that a person saw before death, was a widespread and popular “science” in the late 19th and early 20th centuries, albeit it has been debunked as a forensic method.
Huyu kuna kitu alikifanya kwa mwenzie huko Shinyanga sema alietendewa hakutaka kumuachia Mungu akaamua kufanya retaliation. Huenda ni kwa mwanaume wake au kwa co-workers wenzake.Usicheze na kahama na kahama kuna matajiri alafu wenye roho za ajabu ?.
Pili. huyu dada alikuwa mapepe ?
Tatu .kabla ya kwenda kibaha alifukuzwa kwa sababu za kiofisi ijulikani ni utovu au mengine kiofisi.
Nne hakuwa na cheo hiko ni Afisa mikopo.
Tano .Matukio ya kahama kesi za kufanyiana unyama zipo sana sio mapenzi,sio biashara na n.k.
Uzuri wa huyu dada inaonyesha alikimbia kuofia vitisho kwa mwanamke mwenzake au mapenzi ?
Ule ushauri wa usiondoke kanisani kabla ya ibada kuisha, wakati mwingine huwa na maana
Mzee mwenyewe si fogo anaonekana.Polisi kesi kama hizi hawalali mpaka kieleweke ...
Mkuu kwenye issue hizi zenye public interest hawezi kufanya hivyo bali watakamatwa na kufunguliwa mashitaka ya mauaji then case inaendelea ,wangekuwa wamefanya uhalifu(ujambazi) basi wakikamatwa wanakula vyuma tu.Chonde conde hawa waliofanya kitendo hiki kama watapatikana basi wasifunguliwe mashtaka yeyote Bali watajane wote mwanzo Hadi mwisho alafu na wao wapigwe kibiriti mbele ya camera .
Tusilee ujinga kama huu kwa kuwafunga kifungo Cha maisha.
Wanatakiwa kufa kama wao walivyo ua
Mmh sasa hii kweli ndio inaweza pelekea mtu afanyiwe umafia wa namna hio? Sidhani there is more than that.Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.
Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.
Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.
Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
Nimeona hii kesi imeacha traces nyingi sanaThen ni simple sana, marehemu alikuwa shinyanga inamaana pia maadui na marafiki wengi walikuwa wa shinyanga. Walimchoma moto kwa nia ya kuficha ushaidi hivyo ni wazi kwa jeshi letu hili la polisi lilivyo imara katika kesi za upelelezi nakuhakikishia Mshana Jr watakamatwa nina imani sana na jeshi letu la polisi pamoja na mapungufu yao ila wako smart. Muda ni mwalimu mzuri.