Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Unataka wabadili magari rangi, waweke namba za magari chasis au wabandike namba za IT halafu amiminiwe risasi then mbele zinaweka namba og na kupuliziwa rangi kwa spray mpya kabisa kupoteza ushahidi kama south, huku wakiwa na dark mask, ili ushahidi upotee milele au unatakaje?
Una HOJA usikilizwe
 
Mzee wake alisema hao ni proffesional killers means watakuwa wanafanya kila kitu kutoacha alama na ndiyo maana hata kanisani hawakuonekana japo kulikuwa na CCTV ,aliyeeonekana ni Martha tu ,kwahiyo walijua kabisa kanisani kuna CCTV hivyo walikaa nje...

Tatizo TCRA na Cyber Crime department wanaweka watu kiundugu undugu ambao wengi ni weupe kwenye IT/Tech ,ilitakiwa waweke watu KONKI ,kwenye ulimwengu huu wa tech kama kukiwa na watu wazuri kwenye hivyo vitengo ni dakika 0 tu wahusika waliomuua martha wanapatikana.
 
Ilitakiwa wasaidie kwenye matukio kama haya wangeongeza watu kuwaamin zaidi,wangeajiriwa na police ili kusaidia mambo kama haya
Hapana sio utaratibu wao huo ni wa wapiga ramli labda.. Mganga sio mtu wa kutoka kilingeni na kwenda kuangalia matukio ni mtu wa kusubiri aletewe matatizo
 
Mzee Ushakutana na Professional Killers Tanzania hiii polisi hawatoboi

Eheee mambo mengine ni siri maana uhalifu hata mwenyewe siupendi ,tungekeweka wazi jinsi ya kuwatoka hao watu pasipo kuacha trace hata moja sema ni kwa maslahi ya nchi tu inabidi tupige kimya.

Ni kweli kwa proffesional killers polisi hawatoboi kabisa maana wanajua mbinu zote za kuwapoteza.
 
Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza...
Wakati naendelea kusoma comments,...Ili niifikia mwisho nami nichangie...

Mara nakutana na hii post Yako.

Ni kama kile kile nilichotaka kupost...kwa hisia zangu tu....nilihisi hivyo.

Vifo vingi vinavyohusisha wafanyakazi wa taasisi nyingi nyeti za kifedha...huwa ni mambo haya haya ya ngawira...

Is either you join them!....or---- the choice is yours.

Ni either usaini kuhalalisha WIZI...ama uache kazi kwa shinikizo.

But wanakutadharisha kabisa.

Ukikataa, kuhusika,.... hautakuwa salama... Endapo siri ikavuja coz ulikataa .... Moja kwa Moja watajua kuwa wewe!.

Na watajua namna gani wanashughulika na wewe.

So the best option for her....was to join them!

Iwe kwa kupenda ama kwa lazima...kwa usalama wake..

R.I.P
 
Kiintelenjensia.
Hakuna muhalifu yeyeto Smart ni lazima ataacha tu alama pa kuanzia.
Watu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu...
Siku hizi watu hawapigi tena simu za kawaida kama wanaplot jambo lao, iwe rushwa, kuiba au kuua. Wanatumia WhatsApp Call na huko kupata sauti sijui mpaka uende huko LA, CA labda.

Hata hiyo call ya mwisho unaweza kuta bodaboda kapewa elfu kumi katoa kitambulisho watu wakamsajilisha line. Yote kwa yote lazima kuna a small mistake wamefanya na ndio itawakamatisha
 
Back
Top Bottom