ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 4,631
- 14,237
Hili suala la hiki kifo kinanikumbusha mbali sana.Kuna swaiba wangu alisomesha pisi moja ualimu. Pia akaitafutia kazi ...imepata kazi tu ikamtema mshikaji.
Kama isngekua sisi kulikua na mawili ni jamaa kumpoteza ama ile pisi kali kupotea. Hapa ndo niliona faida ya marafiki wa ukweli maana tulishikana kumshauli jamaa japo ilikua ni ngumu lakini tulifanikiwa jamaa akakaa sawa ila jamaaa alikua kaingia unyama wa hali ya juu maana ilibidi tuwe tunamlinda km Elon Musk akiwa twiter.
Jamani utapeli wa mapenzi ama dhuluma tuache tunapo ona haya yawe fundisho kwetu.