Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 2,060
- 1,887
BenMbona Ben alitoa namba zao kabisa lakini hawajawahi patikana..
It depends.. who to whom by who..for who..
Yupi
BenMbona Ben alitoa namba zao kabisa lakini hawajawahi patikana..
It depends.. who to whom by who..for who..
Amna mtu atashikwa Kwa haya mauajiMshana jr tayari umewapa vyombo vya ulinzi na usalama pa kuanzia.
Uzi huu ubaki hapa hapa mpaka tupate mrejesho nani alihusika na tukio hili maana linaumiza sana. Kongole Mshana jr kwa chapisho lako linalotutoa tongongotongo tusio na uwezo wa fikra pevu.
We ni Bush lawyer?Hii kesi ni tamu kama ile ya annate msuya asee
Nitahudhuria hata mahakamani niisikilize nikiwa na muda
Watu wapo smartHapa wakifuatilia vizuri mawasiliano yake naamini kila kitu kitakuwa open.
Kuna mengi hapa ila unahojaAu hospital walimfanyia morphine marehemu kurelieve the pain?
Usubirie TANPOL umekosea kaziTusubiri mamlaka zichunguze
Watu hawajuiCheque ya 1bn inaandikwa na meneja na hiyo cash kutoka mpka makao makuu wanakua wanajua..kwa afisa mikopo wa branch ndogo kama kahama sidhani kufanyika hilo
Mchaga akatae deal sahauDoooohhh mimi niliwaza kivingine kwamba kama aliwarusha kifedha wenzake kazini baada ya kupiga deal ,kumbe kwa hapa inaonekana alikataa kupiga deal.
Yaani ukifuatisha series ya matukio yake kabla ya kifo lazima utajua kwamba chanzo cha kifo ni issue za kazi tu....Kitendo cha kuacha kazi mwezi mmoja then linatokea hilo tukio obvious utajua issue ni nini.
NnJamaaa huyu
Imerudi na ugoro unisaidie kidogoDondoo za awali, ni kisasi kutokana na dhulma,
wahalifu wana mbinu nyingi sana za kuwapoteza vyombo vya dolaWauaji hawawezi kufanya makosa ya kijinga ya kuacha trace wazi wazi namna hiyo ,watu wasichokijua ,wahalifu wana mbinu nyingi sana za kuwapoteza vyombo vya dola....Ni rahisi sana kuwapoteza askari kwa kutumia simu na kwa jinsi wasivyodig deep muhalifu anaweza akawingiza choo cha kike wakaenda kumkamata mtu siyo.(watu wa cyber wanajua hili ,siwezi kuweka wazi mbinu hii).
Kuna softwares/service kibao kwenye simu zinazoweza kubadili sauti ,kuna magic voice ,kuna software za kuitune sauti ifanane na mtu flani ,akikupigia unasikia kabisa sauti yake ,kuna software ukipigiwa inakuja namba ya mtu wako wa karibu kabisa ambapo umasave jina lake ila hapigi yeye.
Si rahisi wafanyakazi wenzake wenye motive ya kumuua wampigie simu kwamba wanakuja kumsalimia maybe a coincidence or muhalifu alitumia mwanya huo baada ya kusikia kwamba wafanyakazi wenzake wanakuja naye akatumia loophole hiyo hiyo kufanya yake.
UnajidanganyaNa wanawajua vizuri hao majambazi ,nikazi yakuita mmoja baada ya mmoja na kuwambia tusaidiane wapatikane wahusika
this girl was not a SAINT ndio maana in the long run akajikuta in that spot... So untimely!Careful. Tread careful!
Remember this girl was not a SAINT ndio maana in the long run akajikuta in that spot... So untimely!
Wachaga wana nini...? Every now and again wao tu ndo wanauwawa au kuuana in a very satanic model... E.g gunia la mkaa kule kigamboni, bastora sinza, kuchomwa kwa petrol kimara kama uyu tu alivyokua drugged and set to flame by employing flammable liquid dah u know the killer alikusudia... FIRST DEGREE MURDER u know!
As beautiful as a coiled cobra... Am sure this damsel ubaya aliuanza yeye but the other side wasn't lazy at returning the favor.
Rest in peace.
As beautiful as a coiled cobra... Am sure this damsel ubaya aliuanza yeye but the other side wasn't lazy at returning the favor.Careful. Tread careful!
Remember this girl was not a SAINT ndio maana in the long run akajikuta in that spot... So untimely!
Wachaga wana nini...? Every now and again wao tu ndo wanauwawa au kuuana in a very satanic model... E.g gunia la mkaa kule kigamboni, bastora sinza, kuchomwa kwa petrol kimara kama uyu tu alivyokua drugged and set to flame by employing flammable liquid dah u know the killer alikusudia... FIRST DEGREE MURDER u know!
As beautiful as a coiled cobra... Am sure this damsel ubaya aliuanza yeye but the other side wasn't lazy at returning the favor.
Rest in peace.
Una hojaHapana naijua sana hiyo branch iko kwenye jengo la posta,bank zenye nguvu kahama ni crdb na nmb...wauza dhahabu,mazao,waganda ndio wateja wenye cash kubwa hapo kahama.2019 nlikua na hudhuria sana hapo boa kibiashara hakuna ubusy wowote
Una HOJA usikilizweKuna asilimia nyingi sana huyu bibie alipiga mshindo halafu kawazunguka wenzake..... nadhani pia polisi wataangalia namna alivyoacha kazi.
Siamini kama ni mapenzi.... hii issue itakuwa ni pesa tu inahusika
Kabisa TowoNi mchaga na yeye??
MshambaWhite magic inatumikaje kumnasa mhalifu? Toa elimu embu
Nani adakwe Professional Killers Tanzania sio watu wa mtaani au mchezoWe qma unavyoshadadia hivi unahusika sio![]()
Mtadakwa tu kenge nyie
Time will tell nimekaa 👉Nani adakwe Professional Killers Tanzania sio watu wa mtaani au mchezo