Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

M
some Farao kwenye Biblia na Kuna mwingine alipigana na Mungu akamtengua mguuuu
Mungu wa kwenye biblia wa kiwaki,alipigwa na yakobo mpaka akapakachuliwa upaja
 
Kwamba uchunguzi wake ni rahisi sana au siyo?
 
Proof ipi mkuu mimi nina proof kesi ilikuwa kisutu hapo,hawakuwa na kitu mpaka kesi ilipofutwa,hii sio story ya kutunga,nina jua siri nyingi mjini hapa
we lofa kweli, yaani mme yupo Airtel Makao Makuu na alikuwa na cheo kikubwa tu, Mke yupo Barclays na alikuwa afisa mkubwa alafu unasema hawakuwa na kitu??
 
Mijamaa ziro kabisa yan haijui madhara ya simu ha ha ha had dakika hii watu washanza kubinywa pumbu huko....

Ilitakiwa aviziwe aviziwe had aingie king bila kuitwa poor plan..
Mbona simple, kama waliazima simu kwa mtu hapo hapo barabarani ili wampigie Tu atoke!? Unafkiri nao ni wajinga kiasi hicho?
 
Aiseee pori la mitamba /ranchi ni hatari halafu ni tengefu ni bora serikali walikate viwanja vya makazi,niliwahi kupita hapo nikitokea kibaha kwenda Baobab ,ni hatarishi endapo ukipata breakdown.

Hivi Macho yanarecord taswira za watu? Wazee wa forensic tupeni maujuzi hapa ,kama ndiyo kuretriev data za kwenye macho wanatumia technoljia gani?

Mzee wake alisema hao ni proffesional killers means watakuwa wanafanya kila kitu kutoacha alama na ndiyo maana hata kanisani hawakuonekana japo kulikuwa na CCTV ,aliyeeonekana ni Martha tu ,kwahiyo walijua kabisa kanisani kuna CCTV hivyo walikaa nje.

Kwenye traces za Finger Prints ,Macho,Simu sitaki kwenda sana maana ni issue za kipelelezi na sitaki kuweka wazi mbinu maana tutawapa kazi nzito polisi katika kufatilia issue za kipelelezi.
serikali iliamua lile pori lipimwe walovamia wapewe viwanja kiasi,manake ni Mali ya wizara ya mifugo na uvuvi,vitabyobak viuzwe kwa raia wengine,wavamizi wakagomea mpango huo na madalal wq daslam wakawa wanalivamia na kuuza holela till today
 
we lofa kweli, yaani mme yupo Airtel Makao Makuu na alikuwa na cheo kikubwa tu, Mke yupo Barclays na alikuwa afisa mkubwa alafu unasema hawakuwa na kitu??
Walikuwa na discovery?? Hizo business mbona hazikwepo ,ni mafisadi tu hao naeafahamu vizuri,sasa umeamini namjua kavishe mume wa tunu,mbona ulisema martha kazaluwa .wenyewe
 
Mbona hizi ni idea za kitoto
Utagundua vipi sehemu haina cctv, wakati zipo hiden cctv tena bei rahisi.
Maboda boda wengi ni wazee wa Kazi wengine ni wazugaji unaweza ukadondokea kwa muuza supu.

Huwezi muua mtu yeyeto tu usie na interest nae.

Huwa wanatrace mwanzo wa picha na sio mwisho wa picha,huyo mwenye mikwaruzano nae kazini au kwenye mapenzi
Ndie anaenda pasulliwa speaker yeye ndie atawataja aliowauzia kazi.
Radio mbao mmoja keshadakwa
Sihusishi kutokamatwa au kukamatwa kwa watuhumiwa. Nasema unaweza kutumia simu na line za hapahapa Tanzania kufanya tukio na bado ikawa ngumu sana kufanya traces za hiyo namba iliyotumika kufanya tukio..

Hidden CCTV Kigoma au Kibondo?? Ebu tupumzishe kidogo bana
 
Ishu ya kuacha Kazi why aache Kazi ghafla.
1.Kuna shinikizo?
2 .Kakataaa kushiriki dili aliloshirikishwa kazini na siri anaijua?
3.Kawapiga mgao wa dili kazini?
4.kapata Kazi mpya?
5.Kachoka Kazi kaona afanye mishe zingine?
6.Wafanyakazi wenzake kumpigia simu then tukio possible question ⁉️❓
kwamba wanapita hapo kibaha ❓
7.Kuitwa kanisani na kuondoka means aliondoka na possible ya mmoja anaemfahamu ndie aliyemuita kanisani who❓ Huwezi itwa na usiyemfahamu na ukaondoka nae kwenye gari nature inakataa hii.
Cctv ziliiona alipoondoka, means walionekana akiambatana na watu.

Hii crime simple Sana kutrace footage ukichora vizuri penseli muhusika mkuu yaani masta minder anafahamika, akipasuliwa speaker atataja aliowalipa kuua.
 
Sihusishi kutokamatwa au kukamatwa kwa watuhumiwa. Nasema unaweza kutumia simu na line za hapahapa Tanzania kufanya tukio na bado ikawa ngumu sana kufanya traces za hiyo namba iliyotumika kufanya tukio..

Hidden CCTV Kigoma au Kibondo?? Ebu tupumzishe kidogo bana
KWA crime ndogo ndogo na ufanye pekee yako.
Shida ya wahalifu wakishalewa wanaropoka
 
.....bado utakamatwa kirahisi sana.....Simu ukiwasha ukaweka line tayari inaanza kusoma mnara wa sehemu uliopo....Tena Kwa case yako kukamatika itakuwa simple sana sababu cycle yako ni fupi sana,wewe na aliye kusajilia line.
Mradi tu huyo mtu aliyekusajilia line ana akili timamu,kumbukumbu nzuri tayar atalisaidia jeshi la polisi wewe kupatikana.
Kwa Dunia ya sasa kwenye crime yoyote unayotaka fanya usitumie nyenzo yoyote ya mawasiliano inayohusiana na teknolojia.

OGOPA MUNGU NA TEKNOLOJIA.
Mkuu minara hata isome vipi, wewe ukishamaliza kazi simu inazimwa inatolewa line na kutulwa huko katikati ya msitu au hata kuchomwa moto.

Kumbuka huyo dogo aliyeenda kusajili hanifahamu zaidi ya kuniona sura tu. Huyo dogo atakuwa na msaada endapo nitakamatwa na yeye aletwe kubainisha nani alimsajilia line. La sivyo huyo dogo atasotea rumande na muuaji halisi asipatikane.
 
Back
Top Bottom