Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Mwanzoni walijua wameshammaliza baada ya kumdunga sindano ya sumu kumbe ni ya kichina, ule moto ulikuwa kanyaboya ama ateketee aishe abaki jivu asionekane milele
Hapa kuna clue ya ziada hasa kwenye sindano na hayo mafuta.. Inawezekana kabisa wauaji hawakutaka afe
1. Kwa kumdunga sidhano ya dozi ndogo
2. Kwa kummwagia mafuta kidogo kuwasha moto na kumwachia akimbie

Isingewezekana hata siku moja wauaji wako wakuchome moto halafu wakuache ukimbilie kwenye msaada.. Hawa hata wenyewe walihujumiana.. Muda utasema!
Labda pia walifanya hivyo makusudi kwa kumfeed lies ambazo zitapindisha uchunguzi.

Lets say wametumwa na Boss wake wa kazini lakini wao wanaenda kusema wewe si unajifanya unatembea na waume za watu, sasa ukome. Alafu anaachiwa akiwa hajafa vizuri ili kichwani kwake kuwe na nadharia wauaji wangu wananishutumu nilikuwa natembea na mme wa mtu. So obvious hata huko hospital na kwa wazazi akatoa kauli hiyo hapo tayari uchunguzi unapindishwa
 
SAsa hio crime simple tu ndo iwashinde investigator.
Kazini au mapenzi muuaji yupo sehemu hizi mbili.
Muhusika sio ndie aliyetenda bali amekodi.
Ukimpata muhusika ( master minder) umewapata wauaji waliolipwa kutenda.
Rejea ishu ya Msuya bilionea wa tanzanite.
Mke wake ndie masta minder akishirikiana na marafiki zake marehemu pia ni masta minder kwa kifo cha wifi yake (Annette) aliyekuwa akifatilia kifo cha kaka yake.
Mke yupo jela kakosa pesa kakosa UHURU.
Haya maisha ya Dunia ya kupita haya

Hawa wahalifu wa kibongo wanaotegemea waganga wa kienyeji level zao zipo chini Sana kuhusu crime.
Eti mtu anafanya uhalifu halafu anategemea mpumbavu ( mganga wa kienyeji) hao huwa tunawatandikaga Sana na matunguri yao tunapiga na kiberiti kabisa vilinge vyao na majini yao.
Wahalifu wa kibongo bado sana sema tu watu waamue tu kupotezea.
Nilikuwa tuuuu una fuatilia vi Crime scene na discovery channel zina kudanganya
 
Huyu kuna kitu alikifanya kwa mwenzie huko Shinyanga sema alietendewa hakutaka kumuachia Mungu akaamua kufanya retaliation. Huenda ni kwa mwanaume wake au kwa co-workers wenzake.

Alipangiwa Revenge mission kabisa na inaonesha mtu aliyetekeleza hilo alikuwa anamjua kabisa na kashasoma mazingira ya kwao so akaamua kuwapanga wajuba.

Ukiangalia psychologically aspects mzee wake kumuita binti yake kuwa alikuwa mpambanaji has a lot to do na tabia zake. Wanawake wengi wapambanaji wana ile aptitude ya "Getting it regardless" na "Wacha iwe mbaya tu" which means in case I we kwenye maslahi atahakikisha anagrab benefits zote pekeyake na kama atashindwa basi ataharibu. Hii spirit iko kwa watoto wengi wa kichaga.
Yap hii ni ishu ya mchongo ulopigwa akishirikiana na wadau then akawageuka,may be 🤔
 
Labda pia walifanya hivyo makusudi kwa kumfeed lies ambazo zitapindisha uchunguzi.

Lets say wametumwa na Boss wake wa kazini lakini wao wanaenda kusema wewe si unajifanya unatembea na waume za watu, sasa ukome. Alafu anaachiwa akiwa hajafa vizuri ili kichwani kwake kuwe na nadharia wauaji wangu wananishutumu nilikuwa natembea na mme wa mtu. So obvious hata huko hospital na kwa wazazi akatoa kauli hiyo hapo tayari uchunguzi unapindishwa
Hiyo ni baadae wakiunga dots na matukio ya nyuma hiyo haitafit
 
Unaongea kujifurahisha tu mimi nina data za uhakika niko group moja la wasap na dada yake tuko msibani hapa tulikuwa KKKT kanisani Kibaha muda si mrefu,mzee Towo anakaribia miaka 70 au zaidi awe na first born miaka 30???acha bangi
Kwahiyo wewe unambishia Mzee mwenyewe ambaye amesema tena kanisani kwamba ana watoto wawili tu?? We juha kweli
 
Unaongea kujifurahisha tu mimi nina data za uhakika niko group moja la wasap na dada yake tuko msibani hapa tulikuwa KKKT kanisani Kibaha muda si mrefu,mzee Towo anakaribia miaka 70 au zaidi awe na first born miaka 30???acha bangi
Una HOJA usikilizwe
 
Hapo kwenye kubinya pumbu wanakosea sana na kuwapa mateso. Mtu anakiri kwa kuogopa mateso. Hiyo ilitokea wilayani same miaka 3 iliyopita. Mtu alimenywa kucha hadi akakiri mauaji ya x wake. Kumbe muuaji ni fundi. Walikuja kumkamata kupitia simu ya marehemu kutumiwa na baba wa muuaji baada ya mwaka tangia mauaji. Ndo pona pona ya ex wa marehemu
wengi sana huwa wanakiri kuepuka matesoooo.. wakifika mahakamani ndo wanakataa ungamooo mchana kweupee kwamba nilikuwa kwenye mateso makali wakanilazimisha nikiri.
 
Ishu ya kuacha Kazi why aache Kazi ghafla.
1.Kuna shinikizo?
2 .Kakataaa kushiriki dili aliloshirikishwa kazini na siri anaijua?
3.Kawapiga mgao wa dili kazini?
4.kapata Kazi mpya?
5.Kachoka Kazi kaona afanye mishe zingine?
6.Wafanyakazi wenzake kumpigia simu then tukio possible question
kwamba wanapita hapo kibaha
7.Kuitwa kanisani na kuondoka means aliondoka na possible ya mmoja anaemfahamu ndie aliyemuita kanisani who Huwezi itwa na usiyemfahamu na ukaondoka nae kwenye gari nature inakataa hii.
Cctv ziliiona alipoondoka, means walionekana akiambatana na watu.

Hii crime simple Sana kutrace footage ukichora vizuri penseli muhusika mkuu yaani masta minder anafahamika, akipasuliwa speaker atataja aliowalipa kuua.
akipasuliwa speaker
Ndivyo unavyo fikiria
 
Walikuwa na discovery?? Hizo business mbona hazikwepo ,ni mafisadi tu hao naeafahamu vizuri,sasa umeamini namjua kavishe mume wa tunu,mbona ulisema martha kazaluwa .wenyewe
We juha Tunu alianzia hukohuko Airtel akiwa na cheo kikubwa tu.. Hivi unaweza kuwa Afisa Mahusiano wa kampuni kubwa kama Airtel alafu usiwe na pesa??

Alafu kununua gari ni jambo lake binafsi tu, unajuaje labda baada ta kesi kuisha alichukua mafao yake ndio akafanya yote hayo? Unajuaje labda hakununua gari huko nyuma sababu alikuwa akitumia gari aliyopewa kazini na baada ya kurudisha ndio akanunua hiyo Discovery??

Alafu huyo ni dada wa kiukoo tu labda wa baba mkubwa au mdogo lakini sio mtoto wa yule mzee (baba yake Martha). Tafuta clip ya Millad Ayo ya yule Mzee akiongea kanisani amesema mwenyewe kwake wapo wawili tu na amebakiwa na mmoja sasa..
 
Unaweza usikamatwe.

Twende na scenario hii, unaenda Sumbawanga kama mtembezi huru tu. Ukiwa huko unajenga urafiki na bodaboda au muhudumu wa guest. (Hapa unahakikisha unafikia guest house zile za cheap kabisa na ambazo hazina CCTV). Unahakikisha ukiwa huko na huyo boda au muhudumu wa guest unaepuka kutembelea maeneo yeyote yenye CCTV kama Banks au Bar kubwa kubwa.

Kwa siku tatu au nne ukiwa unampa na viofa ofa vya nyama na pombe na vitip vya pesa tayari utakuwa umejenga uaminifu nae. After that unaigiza umepotelewa na simu, unampa huyo boda 100k unamwambia akakununulie simu ya kawaida tu ya elfu 50 na aende tigo/airtel akasajili line chenji inayobaki yake. Akileta simu na line unahakikisha hiyo simu hausave wala kufanya mawasiliano na yeyote na mtu yeyote zaidi ya target yako pekee. Vocha unaweka za kukwangua tena ikiwezekana unanunua hukohuko kigomo vocha za kutosha then baada ya hapo unakuja Kibaha kupiga kazi.

Je ni rahisi kuweza kukutrace hapo??
Wakati unamove kutoka Sumbawanga kwenda Kibaha tayari unaanza kuacha trace. Mwenye Boda utakayemtuma anaweza kutokuwa na Shaka pale ambapo yeye imethibitika kuwa hakuwahi kusafiri kipindi cha tukio. Pia ataeleza mazingira ya kuwa Kuna mtu alimsaidia tu kiutu. Pia kwa kuwa umekaa siku nyingi wanaweza kuanza kukutambua partial kwa jinsi tu ulivyo. Labda mfupi mweusi mnene (JAPO KWA MAZINGIRA YA BONGO HUYO BODA KAYAKANYAGA NA SIDHANI KAMA WANAFATILIA HIZI DETAILS). Baada ya hilo, wewe utakuwa ni unknown lakini kuna nuru inaanza kuonekana. Lakini kumbuka ulisafiri kwa njia gani? Labda usafiri binafsi, sawa twende umeshafika mjini. Wakati unakwenda tekeleza tukio unaweza kuwa umefikia wapi? Maana lazma usuke mpango wa kuchora ramani ya unayemtaka. Lain uliyosajiliwa inaweza toa ramani ni wapi ulipokuwa mara ya mwisho, umekaa kwa mda gani? Umefikia wapi. Yote haya yataanza kukufanya ujulikane kwa taratibu taratibu. Na hapo kwenye tukio bado kuna vitu vingi unaweza acha kama traces. Baam! Wamekukamata.

Muhimu Kabisa kwenye tukio lolote cha kwanza kabisa omba usishtukiwe maana unaweza kufatiliwa ama kufanywa namna ikakubidi uzungumze yote. Pia Unatakiwa ufanye tukio kwa ufanisi na kwa mda mfupi. Kadri unavyowazungusha kwenye kukung'amua ndivyo unavojiongezea muda ndivyo trails zinazidi kufutika.
 
Back
Top Bottom