Loose ends Kifo cha Martha Towo

Loose ends Kifo cha Martha Towo

Hapo wanakaa watu wanne mezani, kila mmoja na karatasi nyeupe na penseli sio kalamu ya wino, then kuna mtu wa tano hua anitwa analyst anakua anaeleza kutokea kwanza shinyanga yule mtu aliishije huko, atakuja analyst wa pili wa kibaha ataeleza wale wanne watandelea kuchora michoro ya penseli kila mtu kivyake, halafu baadae kuna kitu tunaita added information hizi hutoka idara mbalimbali ikiwamo labda TISS , nazo zinachorwa wakati huo wahisiwa wa mwanzo walishakamatwa muda mrefu yaani afisa upelelezi jeshi la polisi wilaya atashirikiana na RCO na RSO wake issue mapema mchana kweupe baadhi ya waliokamatwa watafirwa na kufinywa mapumbu hapo anti robery ndio watahusika na zoezi ay watapigwa shot za matakoni hadi mambo yataisha within 30 days kesi mahakamani tayari upelelezi utaendelea kukamilishwa taratibu kwa kuua mawasiliano ya wahusika mmoja baada ya mwingine hadi wajichuje wenyewe kama kuku wenye mdondo pumbavu zao, wahalifu hao wa huyo binti
KWA hio huwa wahalifu wanapasuliwa speaker
 
Lakini na polisi ya bongo majanga sana , siku 6 alizoishi baada kuchomwa sindano ya sumu na moto, polisi walitakiwa wameshashika baadhi ya watuhumiwa, ina maana walisubiria hadi afe ndio waanze uchunguzi??? inasikitisha sana.

Kama walitaka aishi wangechukua mafuta ya taa ya kutosha wakaweka kwenye vile vichupa vya mafuta ya cherehani halafu wakahakikisha wanamwagia masikio yote mawili asingesikia milele hadi anakufa au wangemfanya kua bubu kabisa yaani jamaa wapuuzi kweli kweli
 
Lakini na polisi ya bongo majanga sana , siku 6 alizoishi baada kuchomwa sindano ya sumu na moto, polisi walitakiwa wameshashika baadhi ya watuhumiwa, ina maana walisubiria hadi afe ndio waanze uchunguzi??? inasikitisha sana.
Inasemwa boss wake tayari yuko lock up. Na kwa body language ya babaake inaonesha kuna mengi tayari yameshajulikana pengine waliweka pause kwanza wadili na mgonjwa
 
Back
Top Bottom