Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 2,060
- 1,889
Mzee hawa wa tuma ela wamesumbua miaka nenda Rudi na hawashikwiTatizo TCRA na Cyber Crime department wanaweka watu kiundugu undugu ambao wengi ni weupe kwenye IT/Tech ,ilitakiwa waweke watu KONKI ,kwenye ulimwengu huu wa tech kama kukiwa na watu wazuri kwenye hivyo vitengo ni dakika 0 tu wahusika waliomuua martha wanapatikana.
Kwa Tanzania hiiii na Dunia hiii watu ni weupe sana
Fikiria kigogo alivyosumbua na mpaka Leo Amna mwenye clues yeyote