Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 2,060
- 1,889
Sahau Kwa Tanzania hiiiSasa last image si itakuwa ma Dr wa hospital? Ndiyo maana nikauliza wanatumia technolojia gani ku retrieve data za kwenye macho? let say wanavuta image labda za week moja nyuma kutoka kwenye retina.