MR BINGO
JF-Expert Member
- Feb 12, 2016
- 1,092
- 2,270
tell me you were not watching Liverpool games without telling me "you were not watching Liverpool games"Ila mechi za EPL alikuwa hathubutu aisee, mpaka kikosi chake nilikuwa nishakikariri
Lakini kwa sasa hivi anawaanzisha hata mechi za EPL
Ulikuwa humwambii chochote kwa wale wazee wake akina Lallana, Chamberlain, Milner, Origi n,k hawa ndio mara kwa mara walikuwa wanaingia kutoka benchi
Makinda wanabaki tu wamekalia mbao ndefu
nigga klop miaka yake mitatu kama siyo minne ya mwanzo alikuwa anachezesha vijana Sana tu kwenye hizo carabao na FA ukiuchimba huu Uzi wenyewe utakuonyesha jinsi gani watu walikuwa wakimlalamikia kuwa anadharau hayo makombe
baada ya kubeba EPl na UEFA ndo akayarudia hayo makombe na kuwa serious nayo
hata Sasa hv ni anawapanga hao vijana kwa sababu ya majeruhi...huwez kumuanzisha Ben doak wakati una Salah kwa hoja ya kuanini vijana wakati unagombania Ligi na kipara hapo