Ila mechi za EPL alikuwa hathubutu aisee, mpaka kikosi chake nilikuwa nishakikariri

Lakini kwa sasa hivi anawaanzisha hata mechi za EPL

Ulikuwa humwambii chochote kwa wale wazee wake akina Lallana, Chamberlain, Milner, Origi n,k hawa ndio mara kwa mara walikuwa wanaingia kutoka benchi

Makinda wanabaki tu wamekalia mbao ndefu
tell me you were not watching Liverpool games without telling me "you were not watching Liverpool games"


nigga klop miaka yake mitatu kama siyo minne ya mwanzo alikuwa anachezesha vijana Sana tu kwenye hizo carabao na FA ukiuchimba huu Uzi wenyewe utakuonyesha jinsi gani watu walikuwa wakimlalamikia kuwa anadharau hayo makombe

baada ya kubeba EPl na UEFA ndo akayarudia hayo makombe na kuwa serious nayo

hata Sasa hv ni anawapanga hao vijana kwa sababu ya majeruhi...huwez kumuanzisha Ben doak wakati una Salah kwa hoja ya kuanini vijana wakati unagombania Ligi na kipara hapo
 
Squad player... He will com around.. Klopp amtumie nafasi yake pendwa ambayo ni LW.. Wachezaji wengi Liverpool hutumikia muda mwingi nafasi ambazo si "zao" tazama Gini, Nunez, Maclister, Gapko nk nk...

YNWA
Hivi Captain Marvelous kwa Sasa Gakpo anacheza namba ngapi ? Mimi namuona ni namba 10. Na jukumu lake kubwa kwenye pitch ni lipi ?
 
Why do we race for the EPL title? We race to chase performance. Performance that lasts from the start to the finish line. YNWA.
 
ladder39.png
 
Jones anachezaje mbele ya Gini?

Trent alipata namba baada ya Clyne kuumia tofauti na hapo huwezi kumtumia kama mfano

Klopp sasa hivi madogo anawatumia kuliko kipindi chochote kile tangu awe pale mitaa ya Merseyside

Hata hawa wa sasa wanatumika kwa sababu ya injury crisis tu iliyopo. Tungekuwa full kikosi kuna ambao usingewaona. Wenye potential amabayo Klopp ameiona ndio walau wangepata game time.
 
Ila mechi za EPL alikuwa hathubutu aisee, mpaka kikosi chake nilikuwa nishakikariri

Lakini kwa sasa hivi anawaanzisha hata mechi za EPL

Ulikuwa humwambii chochote kwa wale wazee wake akina Lallana, Chamberlain, Milner, Origi n,k hawa ndio mara kwa mara walikuwa wanaingia kutoka benchi

Makinda wanabaki tu wamekalia mbao ndefu

Kabisa. Lakini hata sasa ni vile injuries wamekuwa wengi. Vinginevyo usingewaona wengi tu.

Full squad vs Chelsea kina Koumas, Danny usingewaona..!!! Ni vile ilibidi tu.
 
Forest ameshindwa kabisa kumkomalia jogoo? Siyo poa ila siyo mbaya. Acha tuendelee kumsindikiza jogoo kuelekea kwenye ubingwa.

Umewahi kushiriki marathon ya point moja kutoka March mpaka may bila kuambulia kitu???

Msimu mgumu huu. Kipindi cha Marathon hii ilikuwa ni Pep vs Klopp. Tulipunguza gap from 12 mpaka 1, lakn hiyo point moja mpaka mwisho tulishindwa kuidaka.

Msimu huu naona Arteta nae kajisogeza kwenye Marathon.
Zamu yenu embu mpate majeruhi walau wanne tuone ubavu wenu wa kuhimili vishindo.
 
Back
Top Bottom