Dogo ni anacheza haswa
Screenshot_20240201-000945.png
 
View attachment 2890322

Bradley ni habari mpya kabisa Liverpool... Mnasema aje mazima Anorld ahamie MF ama abakie pale pale kama sub ya Bradley

YNWA
TAA kikombe alichomnywesha Clyne nahisi hicho hicho anaenda kukinywa

yaan TAA anapasha dogo Bradley anampiga bonge moja la assist kwa Diaz kama ni kocha mwingine unaweza kuona aibu kumtoa unamwambia TAA arud kwanza kwenye bench

On a serious note though Trent anatakiwa Sasa apambanie kombe kwenye hiyo nafasi ya kiungo maana kwa kukaba huyu dogo Yuko vizur kuliko you so nahisi coach ni rahisi kumpanga dogo badala yake
 
Back
Top Bottom