residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,072
- 9,663
I second you madam.Nkamu Gerrard ndiye Joshua wetu😂
I second you madam.Nkamu Gerrard ndiye Joshua wetu😂
Acheni utani ..I second you madam.
Hata aje nani kurudi matopeni ni jambo la muda tuKidogo kidogo anakuja,
Eehe naona unampigia kampeni Gerrard tumpe timu, huogopi ataturudisha matopeni tulikotoka miaka ya nyuma?
Hawa wakulungwa ingependeza tuende half time tushawanyuka 3. Tumekosa penalty aisee...Tunahitaji mpigaji Penalty aliye serious huu ujinga umezidi sasa.
Nunez , Hivi Nunez ni DM au Foward?Tunahitaji mpigaji Penalty aliye serious huu ujinga umezidi sasa.
Na anakabaSasa TAA atafute namba maana huyu Conor Bradley huyu!
Ding'oka hingo dibwela hingoYaan mpaka raha,toa kitu weka kitu.
Nunez ana evolve taratibu. Siku za nyuma alikuwa anakosa hovyo, sasa anagongesha mwamba hovyo. Very soon atakuwa anatupia magoli mpaka haters wajinyonge.Nunez inawezekana Mungu hajampangia kuwa striker angejaribu kuwa hata beki ama kiungo mkabaji tu.
Yesu wangu🥹🥹🥹Hii timu apewe Unai Emery kuliko hata huyo Alonso.
TAA kikombe alichomnywesha Clyne nahisi hicho hicho anaenda kukinywaView attachment 2890322
Bradley ni habari mpya kabisa Liverpool... Mnasema aje mazima Anorld ahamie MF ama abakie pale pale kama sub ya Bradley
YNWA