KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 3,727
- 4,468
Mana match ishaishaaa hiyooo
Unajitafutia pressure ya Moyo....
Shetani hawezi kushinda hii game
Mara ya mwisho mchezaji wa Liverpool kuwafunga hawa Manchester United hapa Trafford hat trick ilikua 1936 ππΏππΏππΏππΏππΏ miaka 85 iliyopitaaaa... Leo hii Salah ndani ya OT amefanya yake jamani Liverpool hii raha sana.Mo. Salah is the best player in the world right now
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yaaani Pogba sijui katumwo amfumie aliefungulia hii mvua yaaani lile jeraha lisiwe kubwa maana kwa mara ya kwanza ameanza kuonyesha umuhimu wake kikosini...Keita back to injury, too bad
Kabsa..lets prayPoor Keita. Ameanza kuwaka wanamuumiz tena. Let's all pray for him isiwe serious injury
Hizi pass nyingi mnazopiga liverpool zinatosha kabisa kupiga pass uniform zote za wanafunzi wa msingi Tanzania bara.
Hizo mcheki Numbisa...Nielekezeni namna ya ku upload GIF wakuu
HahahahahMungu jaalia Ole afukuzwe kabla ya Manure kukutana na Chelsea ili musije kufaidi kuwapiga Mande Manure.
Asant kwa taarifaHii shughuli ni ya kwetu sisi tuko man united na leo ni leo tu CR7 atawafanya kitu kibaya sana na tena mlivyo na defense mbovu na shati lenu pale golini tuna uhakika wa goli tatu zilizosimama.
Kila la kheri Man United.
Haha wawe makini waendelee kushikilia hapo hapo. Wakiteleza kidogo tu tunawatupa chini.They know we are capable of the spectacular. Wanatuhofia sana.