Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 19,526
- 37,943
YNWA
Kafanywaje kwani?Calm down Mane! Hayo yote yanatokea mchezoni
Huyu Salah anatakiwa akalie Benchi, anaivuruga TimuCalm down Mane! Hayo yote yanatokea mchezoni
Kafanywaje kwani?
Dah ....Analalamika kwenye bench kuhusu Salah kutokutoa pasi kwa his Teammates kwenye nafasi za wazi
Salah kweli leo kazingua, hii mechi leo tungeshinda hata 7Analalamika kwenye bench kuhusu Salah kutokutoa pasi kwa his Teammates kwenye nafasi za wazi