Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mkuu umesema Makinda ili wapewe nafasi ni lazima nafasi hiyo iwe tupu!

Huo ni ukweli na ndicho kitu kilichomfaidisha Trent.

Tulikuwa na Beki 2 mmoja tu Clyne ambaye aliumia na nafasi ikawa tupu, Hapo ndiyo walipoibuliwa Trent na Gomez kuziba hiyo nafasi.

Na mpaka leo hii nafasi hiyo ina Trent peke yake hana msaidizi.

Kuna na nafasi ya Beki 3 akiumia Robertson itabaki wazi, kwahiyo yule dogo Yasser Larouche huenda kapata bahati kama ya Trent kuziba hiyo nafasi.

Bwnginevyo sioni nafasi ya dogo yeyote kutoboa Liverpool.

Hao kina Brewster, Ki-jana, Van Den Berg, Dancun and co wote wataishia kutukimbia.
KUNA SHIDA KWENYE YOUTH DEVELOPMENT, SIJUI WANAWAKUSANYA WA NINI? KWA NINI HAJIFUNZI KWA WENZIE?
 
Leo ndio naingia humu,

Makocha wanajua kutuchezea akili
Natumai umepona homa mkuu

Ile tatu moja ilikua hatari sana mzee mwenzangu

Walinambia iliwabidi wakupeleke aghakan !

Maana hali ilikua tete sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom