Mhhhhhh!!! Dont do that banaaa!!...... kujenga kazi, nitakumiss ujue?Mkuu huu msimu wakati unaanza nili-promise kama hatutapata kombe lolote (EPL or FA) nitapumzika kuwa karibu na huu mchezo, nadhani maneno yanaenda kutimia. Just tired with this shit.
Duhhhhh!!!Mkuu kwa kauli ya klopp alisema hawezi mshawishi mchezaji yoyote kwa pesa bali kwa performance ya timu unadhani mchezaji gani atakuwa willingly kujiunga na consistency-inconsistency team?
Bright future unayoiongelea its already singing everyday in our very well song 'you'll never walk alone', do you think we can see the golden sky at his (klopp) era?. 2 final all lost with a very poor performance.
January it's over no new sign, usitegemee mane kurudi leo kwa uchezaji wa Senegal they can reach final (probably) tutakuwa tumepoteza game ngapi hapo?
Believe it or not team yetu now ni team ndogo sana tena sana tunakuwa tunacheza kama Sunderland, Swansea and the like. Play very well against top six and play very poor against others, even we struggle against Plymouth is it real Liverpool? I am DOUBTER not a Believer anymore.
KLOPP MUST LEAVE OUR CLUB
Nani mgeni humu, kijana? Kama kuna wanaokulealea humu hapa kwangu umekosea njia, kid. I have lived the world!Ukionyesha upumbavu lazima uambiwe ukweli bila kumung'unya. Kuna mashabiki tunataniana humu kwa muda mrefu sana wewe sijawahi kukuona. Acha kudandia yale usiyoyajua na kama huna kifua nacho. Ushabiki wako wa kipumbavu peleka kwingine siyo humu wewe shabiki uchwara.
Eti kuweka picha tu umenuna! Wewe kweli ni shabiki uchwara.
Mkuu, tatizo huyu jamaa yako ana mambo ya kishamba sana. Ananitukana eti kwa vile nimemwambia he's hurting my feelings? Ameshindwa kutumia lugha ya kistaarabu?Mkuu Muache BAK Atupien Zile Post Zake ni Mdau Wetu Kitambo Sana.....
Nani mgeni humu, kijana? Kama kuna wanaokulealea humu hapa kwangu umekosea njia, kid. I have lived the world!
Ndiyo shida yenu ninyi vijana mnaojifunzia kuvuta bangi vijijini kwenu kwa ajili ya kupata nguvu ya kwenda shamba. This is pathetic!!
Ndiyo maana nimekwambia kama umezoea to ride the easy way, I'll never let you do that.Hatukujui huku kwenye huu uzi wewe! Mashabiki wote wa L'pool hapa tunawajua na hawana upumbavu kama wako wa kununa pale inapotumwa picha kuhusiana na mchezo ambao l'pool imepoteza. Acha ujinga wako wa kuleta ushabiki wa kipumbavu humu. Ukiona nimetuma picha ya Liverpool katika mchezo ambao impoteza pita nayo mbali kabisa badala ya kuleta ujua wako humu. Watu wengine banaaa kutuma picha tu ambayo iliwekwa mtangaoni kule The Guardian eti kanuna! Dah! hahahahahaha kuna watu wana upumbavu wa kutisha!
Ndiyo maana nimekwambia kama umezoea to ride the easy way, I'll never let you do that.
You got to start behaving yourself on this forum pronto, shamba boy.
and NOW!!
Yeah right, moron!Hahahahahahah lol! You don't do know me stupid boy. Go somewhere else to show your stupidity. You know nothing about football. We've never seen you before on this page. Taahira mkubwa wewe wacha kujabaraguza wewe! Who do you think you're on this forum to give me orders. Remember that on Jamii Forum YOU'RE NOBODY acha kujishebedua bedua mbele ya kadamnasi kama vile wewe ni mmiliki wa hii Forum.
Now I realise kumbe you're not OK upstairs.Moron baba yako na mama yako.
Hatukujui huku kwenye huu uzi wewe! Mashabiki wote wa L'pool hapa tunawajua na hawana upumbavu kama wako wa kununa pale inapotumwa picha kuhusiana na mchezo ambao l'pool imepoteza. Acha ujinga wako wa kuleta ushabiki wa kipumbavu humu. Ukiona nimetuma picha ya Liverpool katika mchezo ambao impoteza pita nayo mbali kabisa badala ya kuleta ujua wako humu. Watu wengine banaaa kutuma picha tu ambayo iliwekwa mtangaoni kule The Guardian eti kanuna! Dah! hahahahahaha kuna watu wana upumbavu wa kutisha!
Ndiyo maana nimekwambia kama umezoea to ride the easy way, I'll never let you do that.
You got to start behaving yourself on this forum pronto, shamba boy.
and NOW!!
I'll miss you too mtani ... nitakuwa napita jukwaani kwenu kukuona nafsi yangu iridhikeMhhhhhh!!! Dont do that banaaa!!...... kujenga kazi, nitakumiss ujue?
Now I realise kumbe you're not OK upstairs.
Am definitely dealing with a sadist here. What a waste of my past few minutes!
I agree.Mkuu Tisha-TOTO let it pass
BAK let it pass too, Tisha-TOTO ni member ni(tu)naye mheshimu humu . Nawe pia nina kuheshimu mkuu. Tuliweke jukwaa letu salama wakuu
Klop huna beki, bado unaendeleza bifu la kike na Sakho, kweli? hata Swansea? , mbona gurdiola ameyamaliza na yaya mambo yanaenda, awache upumb.avu klop
10 points Gap, Klopp must be very happy now"can you imagine how annoying it must be - to win 13 games in a row and find there is still a team only 6 points behind?", said Klopp referring to Chelsea's recent good form relative to Liverpool's.
"can you imagine how annoying it must be - you are on a 16-game unbeaten run and still find yourself 12 points below top of the league and you're languishing in mid-table?", says M-mbabe referring to Danpol's post above re Manure.