Ntuzu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 17,418
- 10,877
majogoo ni mabingwa wa mini-ligi ya top 6 hadi hivi sasa tunavyoongea.swan- sea
chel - sea
sio ndugu hawa
kazi kwa liva
Hivi ndivyo tunavyofanyamajogoo ni mabingwa wa mini-ligi ya top 6 hadi hivi sasa tunavyoongea.
hakuna coach yeyote katika top 6 atakayemmudu Klopp (big match magician).
Aibu hiyomajogoo ni mabingwa wa mini-ligi ya top 6 hadi hivi sasa tunavyoongea.
hakuna coach yeyote katika top 6 atakayemmudu Klopp (big match magician).
hahahaaa!Aibu hiyo
Alafu msimu ukiisha ndio utakachojisifu nacho hicho
Wakati wenzako wananyanyua ndoo
Shame upon you
Ya nini sasahahahaaa!
kanywe sumu chief....
Nimewahi kujiuliza ni kwa nini wachezaji wengine wamewahi kujaribiwa katika nafasi tofauti lakini huyu dogo... pamoja na makosa yake yote kule beki hawajawahi kumjaribu winga ya kushoto...na dogo ana kasi ya hatari.kule kwenye site ya Liverpool Echo kuna mjadala unaendelea kuwa Moreno awe converted kutoka full back kuwa attacking left winger. mchokoza mada ni Ian Doyle.
mwanzoni kuna baadhi ya wasomaji wamemponda sana Doyle lakini kadri mjadala unavyoendelea inaonekana kuwa inaweza kuwa option nzuri hususani wakati huu ambapo hatuna pace from wide kutokana na Mane kuwa AFCON.
pia wengine wanamtolea mfano Gareth Bale (Real Madrid) ambaye naye alianza kama left back.
Kopites wa JF mna maoni gani?
'As long as he stays 50 yards from our goal, put him in'
Cou ame-sign mkataba mrefu mpya leo
![]()
The 24-year-old dedicated his future to the Reds on Wednesday by putting pen to paper on a new deal, which will come into effect from July 1, 2017.
And Klopp feels Coutinho’s commitment is something that will delight everyone connected with Liverpool.
The manager told Liverpoolfc.com: “This is wonderful news and I know everyone associated with LFC will be delighted when hearing this today.
“I think everyone knows what a great footballer Phil is, that is not in question - but not everyone sees what an incredibly positive character he is and what a big influence he is on the dressing room.
“I knew of Phil before I came to Liverpool and I was well aware of what a talent he was, but since arriving here I have not only witnessed his ability up close, but also his ever-continuing development. He is truly world-class - in that very top bracket.
“The fact he wants to stay here and be part of what we are looking to build and develop shows his personal commitment is to make himself better and be an integral part of something that is very special.
“We have total belief in our project, but when a player of Phil’s calibre and status commits for this length of time it shows that our faith is shared throughout the game. He knows he can fulfil his dreams and ambitions here at Liverpool. This is a big statement.
“I look forward to seeing Phil create many more great memories and moments for this club.”
Ila ST naye si anachukua 150k! !!kwenye EPL top earners Manure wapo kibao, sisi ni mmoja tu huku ligi tumemkalia......kweli Klopp is a genius!
View attachment 463728
FSG ni wafanyabiashara wanajaribu kutangaza biashara huenda wameweka release clauseIla ST naye si anachukua 150k! !!
Huu mkataba wa Cou yasije kuwa yaleyale ya Suarez na Tores
Kwa taarifa zilizotoka wanadai kipengele cha realese clause hakipo wacha tusubiri msimu uishe tujueFSG ni wafanyabiashara wanajaribu kutangaza biashara huenda wameweka release clause