Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Lamine ni jembe ndugu yangu, box to box akicheza zaidi central midfield ku control tempo ya mchezo.
Kwa umri wake ma top scouts akina Jacobs wanatabiri mema sana kwake hivyo akitua kwenu trust me mmepata mtu pale

YNWA
Ila nyie ndio mna uhitaji mkubwa sana kuliko sisi ila Chelsea ina roho mbaya sana inapenda kuwaonea dili Caicedo ilikuwa hivi hivi same to Lavia
 
Ni kawaida team ku struggle mechi ya kwanza hadi ya 3
Baada ya hapo tutakua sawa sana
Tuzidi shikamana,mambo mazuri yaja
 
Kifupi hamna timu wala wachezaji afu kelele nyingi jogoo ananyonyoka taratibu hadi may watu wanamnywa mchuzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom