Ni mzuri ndio ila Hayupo super clinical aisee. Kosa kosa ni nyingi sana.Alafu Gapko mbona ni mchezaji mzuri inakuaje mnauza
Ndio mtoe pound mil 60 kwa Sarr??? Huyu Mchezaji anamzidi Nini GapkoNi mzuri ndio ila Hayupo super clinical aisee. Kosa kosa ni nyingi sana.
YNWA
PSG wamenunua wachezaji wa Tatu wazuri chini ya combined figure ya £130m yaani wamepata winga wawili na MD mmoja. Huku Hughes akiturisha matango pori.Hapo mtakua mmepigwa hakiwezekani barcola akawa ana bei Ile!! Yaani yule bei halisi ni 70p
😂😂😂Sarr wanamfuatilia tangu mwaka 2020 na sasa naona wameamua aidha wanamhitaji au anatumila kama chambo kushusha wengine bei hua inatumika sana hio mbinu.Ndio mtoe pound mil 60 kwa Sarr??? Huyu Mchezaji anamzidi Nini Gapko
Barcola ame deliver wakati akipewa nafasi hivyo ni mwalimu wake tu ameona walio mbele yake wapo kamili zaidi yake na kupelekea Barcola kutamani kusepa na kutua mahala atakua 1st 11. Anataka mahala ambaopo atakua chagua la kwanza.Yule barcola nae vile vile ni bench warmers kule PSG. Najiuliza kama barcola ni paund 120+M , je kvara bei yake ni shingap?
Tatizo management yenu inakurupuka dirisha la usajili linaenda kufungwa walikuwa wapi hapo mwanzo Ndio maana mnaekewa Bei za kukomolewa Kuna possibility ya kufanya panic buying yaani unamruhu vipi Salah anaondoka ukiwa Huna replacement yake hii ni akili au matopePSG wamenunua wachezaji wa Tatu wazuri chini ya combined figure ya £130m yaani wamepata winga wawili na MD mmoja. Huku Hughes akiturisha matango pori.
YNWA
Ndio umtumie SARR????🤣🤣🤣😂😂😂Sarr wanamfuatilia tangu mwaka 2020 na sasa naona wameamua aidha wanamhitaji au anatumila kama chambo kushusha wengine bei hua inatumika sana hio mbinu.
YNWA
Hana thamani ya hela wanayotaka PSG. Barcola huyu chance 7 anapata 1 mbio nyingi kama bolt sizani kama ataiweza EPLBarcola ame deliver wakati akipewa nafasi hivyo ni mwalimu wake tu ameona walio mbele yake wapo kamili zaidi yake na kupelekea Barcola kutamani kusepa na kutua mahala atakua 1st 11. Anataka mahala ambaopo atakua chagua la kwanza.
YNWA
Liverpool ni kama baba aliefanikiwa akapata mahela mengi aafu akafika mahala akajisahau mbinu zilizompa ela akaanza kupoteana,.Tatizo management yenu inakurupuka dirisha la usajili linaenda kufungwa walikuwa wapi hapo mwanzo Ndio maana mnaekewa Bei za kukomolewa Kuna possibility ya kufanya panic buying yaani unamruhu vipi Salah anaondoka ukiwa Huna replacement yake hii ni akili au matope
Dogo ana kipaji bei sio sawa yaani ukumbuke hatujapata replacement ya Salah mpaka sasa maana upande wa kushoto Yupo Rio, Gapko,Chiesa na Victor. Upande wa kulia hatuna direct output ya Salah labda wampe Elliott dakika tuone au na mfumo unakua tofauti kwa kweli muda utasema.Hana thamani ya hela wanayotaka PSG. Barcola huyu chance 7 anapata 1 mbio nyingi kama bolt sizani kama ataiweza EPL
🤓🤓🤓Mkuu mbinu zipo nyingi aisee. Pale Crystal Palace wangetua kwa yule beki wao Munoz jembe sanaaa, huyu Sarr ni mzuri lakini sio kwa hio bei. Pale Porto tulipompata Diazi kuna ma winga machachari sanaaa sijui wanachotaka ni kipi maana mfungaji yupo Isak na Hugo hivyo wanasaka watengezaji na hayo magoli hivyo wangetazama na Kule.Ndio umtumie SARR????🤣🤣🤣
Poleni sana sio kwakuteseka huko huku kwetu raha kama zoteDirisha linaelekea mwishoni na sioni dalili ya kununua DM kwa maana hio tutegemee maumivu, mechi ya Newcastle ilionyesha bila chenga kwamba pale kati Ryan anapwaya mno kama ailivyopwaya mzunguko wa pili msimu uliopita.
Biashara ilitakiwa ifungwe mapema sana hii nunua Defensive Midfielder, Right Back , Right Winger... kama kuna mauzo ndio wangeanza kuboresha kwingine.
YNWA
Tunaipenda wenyewe 🔥🔥....tupo mpaka basi.Poleni sana sio kwakuteseka huko huku kwetu raha kama zote
Lamine Camara ni mchezaji mzuri?Liverpool's opponents in full:
Mechi za awali UCL ndio hizi.
Liverpool vs Inter Milan (A),
Liverpool vs Atletico Madrid (H),
Liverpool vs FC Porto (H),
Liverpool Club Brugge (A),
Liverpool vs Villarreal (H),
Liverpool vs Fenerbahce (A),
Liverpool vs Lens (H),
Liverpool vs Lask (A).
YNWA
Lamine ni jembe ndugu yangu, box to box akicheza zaidi central midfield ku control tempo ya mchezo.Lamine Camara ni mchezaji mzuri?