Hapo kwa man u sio signings zakutisha Baleba ni injury prone na performance yake ya msimu uliopita haikuwa nzuri, Santos ana inconsistency performance ukija kwa Tielemans ni mazuri ila sio yule wa Leicester city. Kwenye midfielders za maana ni kwa spurs Tonali na Fernandes hawa ni watu na nusu na Arsenal wamesajili mtu BrunoArsenal - Bruno G
City - Anderson Bouaddi
Spurs - Fernandes Tonali
United - Baleba Santos Tielemans
Liverpool -
Failing to address the flaws in our midfield whilst everyone else strengthens theirs is pure incompetence, Iraola hasn’t been backed
Vipi baado nachekesha?Unachekesha.
King Ngwaba amekumiss, hajakuona kitambo sana.Wana Liverpool halisi hamjambo
Sare ya jana sio mbaya
Naion dalili team itakua sawa tofauti na msimu uliopita
Mwanangu huyu yupo?King Ngwaba amekumiss, hajakuona kitambo sana.
Yule barcola nae vile vile ni bench warmers kule PSG. Najiuliza kama barcola ni paund 120+M , je kvara bei yake ni shingap?Kweli hili soko pasua kichwa, yaani bench warmers pale Manchester City wanauzwa ghali kinoma na Hawa ndio wanafanya biashara ie ngumu hata kwa wengine imagine Savinho ameuzwa £85m like serious aafu Gonzalez £50m lol namna hii hatari ni kubwa sana ku negotiate na PSG 🙊🙊🙊
YNWA
Hapo mtakua mmepigwa hakiwezekani barcola akawa ana bei Ile!! Yaani yule bei halisi ni 70Kabla ya wekedi hii kuna uwezekano dogo Barcola akawa ametua kwa majogooo wa jiji.
YNWA
Alafu Gapko mbona ni mchezaji mzuri inakuaje mnauzaKabla ya wekedi hii kuna uwezekano dogo Barcola akawa ametua kwa majogooo wa jiji.
YNWA