Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Man United inazidi kupoteza nyenzo muhimu zilizowahi kuipa mafanikio Timu yao.

  • Alianza Howard Webb kustaafu
  • Sasa ni Antony Taylor

Ikumbukwe hawa Watu wana mchango mkubwa sana katika era ya Ferguson kumpa mafanikio now wanaondoka mmoja mmoja.

Ni huzuni
Ni huzuni sana hawana tena huo msaada tangu Fergie asepe.

YNWA
 
Mtu sio nyau😃
Screenshot_20260729_005801_Instagram.jpg
 
Saint Anne njooo umuone Babu yako Le Past Captain ameula hukoo Chelsea 😃😃😃😃😃kweli hii Dunia wenye bahati wapo aisee, huyu jamaa ana aura Fulani na kismati balaa....haya all the best kwake.

YNWA
Nashangaa sisi tumemchelewa Hadi amewahiwa.
Hendo ni hazina kubwa,,ana damu ya uongozi.
 
IMG-20260804-WA0085.jpg

🚨💣 BREAKING: MOHAMMED SALAH TO TRABZONSPOR, HERE WE GO! ⚪️✨

Agreement closed tonight with Trabzonspor for a 2 year deal for the Egyptian winger on a free transfer.

Salah will fly to Trabzonspor this week for medical tests and contract signing until August 2028.

DONE. 🇪🇬
 
View attachment 3643361

Dah 🥹
Harudi tena Salah wangu😭
 
Mohamed Salah atalipwa €17 milioni (takribani pauni milioni 14.5) kwa msimu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili na klabu ya Trabzonspor. Huu ndio mkataba wenye thamani kubwa zaidi kuwahi kutolewa katika ligi ya Uturuki.

Mbali na mshahara wake, Salah pia atapata asilimia 20 ya mapato yatokanayo na mauzo ya jezi na bidhaa nyingine zenye jina lake, kwa mujibu wa The Times.

Mpo very slow kwenye Transfer shida Nini?
 
Barcola €150 m ?

Mnapigwa za uso, huyu ni Gabi Martineli au Garnacho aliyechangamka....after 1season mmta_struggle kumuuza !!!!
 
Walikuwa na mpunga wa maana msimu uliopita wakasajili magarasa matokeo yake ndio hayo yaani wachezaji watatu tu tena wa kawaida wakawasajili kwa pound million 300+
Hawa tutapiga sana msimu ujao.
Watakuwa wanachambua humu Kwa kifaransa😅
 
Mashabiki wa Liverpool mbona kimya Usajili wenu mliofanya wa Araujo ila mnatabia mbaya na hampendi ushirikiano wa Epl kwanini muende kwa Araujo wakati sisi Wana blue tuna beki la Dunia Uncle Tosin alafu tunawapa Badiashile kama kifunganishio
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom