Tumeacha asili yetu na ssa tuna behave kama tuna wamiliki wa Uarabuni matokeo yake ndio haya mauzauza unayoona sokoni yaani wachezaji wanaotajwa na hizo bei mbona kipengele sanaa.Mpo very slow kwenye Transfer shida Nini?
Saiv soko gumu sanaTumeacha asili yetu na ssa tuna behave kama tuna wamiliki wa Uarabuni matokeo yake ndio haya mauzauza unayoona sokoni yaani wachezaji wanaotajwa na hizo bei mbona kipengele sanaa.
FSG should go back to basics sio haya kushindana kununua n timu matajili kama Manchester City au Chelsea
Tazama enzi hizo tunaamini idara ya data kwenye usajili haijwai kutuangusha kwani walikua Wana profile wachezaji hata wanne nafasi 1 kwa mfano Salah alikua chaguo la pili pindi anatua Liverpool lakini angalia bei yake ilikua kiduchu sana. Kwa sasa tunanunua majina tu sio tena data proven mwenye resale yake ikishaiva....
YNWA
Kocha anachangia, Klopp alikuwa ni Kocha mwenye jicho la kuona kipaji alikuwa anasaidia kwenye kupendekeza mchezaji gani anamtaka na wachezaji wengi anaowapendeza huwa sio maarufu ndipo maana wanakuwa cheap ila yeye ndio anawafanya wawe maarufu mfano mtu kama Robertson, Anold nani alikuwa anawafahamu? nafikiri hiki ndicho mlichokosa baada ya kuondoka Klopp.Tumeacha asili yetu na ssa tuna behave kama tuna wamiliki wa Uarabuni matokeo yake ndio haya mauzauza unayoona sokoni yaani wachezaji wanaotajwa na hizo bei mbona kipengele sanaa.
FSG should go back to basics sio haya kushindana kununua n timu matajili kama Manchester City au Chelsea
Tazama enzi hizo tunaamini idara ya data kwenye usajili haijwai kutuangusha kwani walikua Wana profile wachezaji hata wanne nafasi 1 kwa mfano Salah alikua chaguo la pili pindi anatua Liverpool lakini angalia bei yake ilikua kiduchu sana. Kwa sasa tunanunua majina tu sio tena data proven mwenye resale yake ikishaiva....
YNWA
Hata kama soko gumu ndio wamchukue Araujo????Saiv soko gumu sana
United nayo km Liverpool tu, nao wanavizia
Sema nyie msimu uliopita mlisajili sana
Nahis kocha akifanya vizuri basi msimu ujao mtasajili sans
Hawa tutapiga sana msimu huuHata kama soko gumu ndio wamchukue Araujo????
Sijasikia mkisema Chochote kuhusu usajili wa AraujoView attachment 3650555
Huyu dogo karibuni tu atakuwa Tajiri, unashindwaje kutafuta Demu mkali mpaka achukue mmama kazeeka hivi?
By the way Klopp mwenyewe alikua anafuata data kwa mfano ishu ya Salah ilikua hivi, Klopp alimtaka Mario Gotz lakini dogo akamgomea na huwezi shangaa sana kwa kua tulikua chini sana enzi hizo yaani tulikua tunasidikiza wengine..then namba 2 akawa Salah na usajili wa ukizingatia data chini ya Ward and crew. Klopp aliacha hio idara iwe full independent japo kuna wakati ilizingua tazama usajili wa Thiago😳😳 but tukitazama usajili ulivyokwenda enzi zile na sasa utaona kwa sasa ni kama FSG wanaingilia hii idara kwa PR zao na wanachotaka wamekipata tazama dili ya Bezos wa Amazon kuwekeza ama kuuziwa robo ya umiliki wa Liverpool.....Kocha anachangia, Klopp alikuwa ni Kocha mwenye jicho la kuona kipaji alikuwa anasaidia kwenye kupendekeza mchezaji gani anamtaka na wachezaji wengi anaowapendeza huwa sio maarufu ndipo maana wanakuwa cheap ila yeye ndio anawafanya wawe maarufu mfano mtu kama Robertson, Anold nani alikuwa anawafahamu? nafikiri hiki ndicho mlichokosa baada ya kuondoka Klopp.
Kweli ngumu siku zote Mkuu sio sasa tu.... Liverpool ipo kwenye 10 Bora klabu Bora Duniani hivyo ina mvuto kwa wachezaji ishu ni PR za FSG mpaka waone mabango ya FSG out au timu izomewe ndio wataamka na kukurupuka kama kwa Isac .... dirisha lipo wazi wanajua tuna mapungufu idara zifuatazoSaiv soko gumu sana
United nayo km Liverpool tu, nao wanavizia
Sema nyie msimu uliopita mlisajili sana
Nahis kocha akifanya vizuri basi msimu ujao mtasajili sans
Araujo ni Mkopo wenye kipengele Cha kumnunua pia. Huyu tumepata jembe haswa na atanunuliwa Juni 2027 mark my words, kaja wakati mzuri anaingia kikosi Cha kwanza direct nafasi ya Konate....Sijasikia mkisema Chochote kuhusu usajili wa Araujo
Sijasikia mkisema Chochote kuhusu usajili wa Araujo
Mmekuwa wanyonge na team yenu mpaka nawaonea hurumaSipigi Ramli nasubiri nione nione atakachofanya uwanjani
But his self discipline is real lacking.Araujo ni Mkopo wenye kipengele Cha kumnunua pia. Huyu tumepata jembe haswa na atanunuliwa Juni 2027 mark my words, kaja wakati mzuri anaingia kikosi Cha kwanza direct nafasi ya Konate....
Ishu tu alikua na mental break down last season endapo hii amepona mazima basi tumemwokota kwa bei chee.
All the best kwake. Hughes kwa hili kalenga.
Dogo yupo modern dynamic anacheza beki wa kati na beki wa kulia. Alipanda pale Barcelona na kua kapteni msaidizi hivyo hio pekee inakuonyesha sio tu mchapa kazi mbali ni team player🙏🔥🔥
YNWA
Arsenal - Bruno G
City - Anderson Bouaddi
Spurs - Fernandes Tonali
United - Baleba Santos Tielemans
Liverpool -
Failing to address the flaws in our midfield whilst everyone else strengthens theirs is pure incompetence, Iraola hasn’t been backed
Nadhani ndio maana amesaka timu mpya ajaribu kubadili mazingira pia..But his self discipline is real lacking.
Maybe if he will sort out, kama ataendelea vile basi tutegemee red card za kutosha kutoka kwake.
Nadhani kama Jones akitimkia Inter Milan wanaweza kufanya jambo au tutaona Nyoni na vijana wengine wakipewa dakika zaidi.Grav
Mac
Szobo
Wirtz
All of them can play a midfield position effectively and delivering their best. No need to panic for Baleba.