Slot again huyu kocha ni mpumbavu sana sijawai kuona hizi match za mhimu anadhidi kutushusha the match against Plymouth FA akaweka wachezaji wa ajabu tukaondolewa. Leo tena anafanya sub za kiseng* kumtoa McAllister na Szoboslai was big mistake, then alivyo wa ajabu anaenda kufanya selection mbovu ya wapigaji penalty, Yakima Nunez yaliyo jichokea, aisee... Hii match imeniuma. Hata saivi EPL tushukuru tu Man. City na Arsenal hawapo kwenye form vinginevyo saivi tungekua tupo nafasi ya 3 huko. Simuoni akiwa na mda mrefu pale viunga vya ANFIELD.
Lakini hongera kwa. PSG wameonyesha ushindani mkubwa sana. Naona Kuna uwezekano mkubwa sana wa PSG kuchukua huu ubingwa. Jamaa wanajua kukaba, (high pressing) wanapiga accuracy pass aisee... Mpaka Sasa match nilizo ona UEFA sioni timu ya kuwazuia hawa washikaji.