Hivi mliopata hizi jeziHello Family.
As we approach X - Mass, I would like to take this opportunity to thank you guys for keeping this forum (family) active, in one or more ways this thread, it's people (LFC Family) have been all to me, you guys are awesome.
There are times I almost lost it, but the theme You Will Never Walk Alone made the meaning, you all supported me in one or more ways to get to this, thank you guys.
NOTE: Nitatoa jezi tatu kwa members tofauti Xmass hii (jezi kwa bei za Kariakoo 25,000/- to 35,000/-), first come first serve basis. Unachotakiwa ni ku-quote hii post kwamba unahitaji jezi hiyo, watu wa tatu wa mwanzo ndo watakao pata. Tutajadili size na wahusika na
namna ya kufikiana.
Again, thank you guys.
YNWA
Una Kocha Mhispaniola sasa hivi kaa kwa kutuliaNatamani kile kikosi cha Hispania WC
Ndio kiwe kikosi chetu Liverpool
Vile vitoto vya Hispania vina balaa🔥🔥Una Kocha Mhispaniola sasa hivi kaa kwa kutulia
Kumbe anatokea Spain?Una Kocha Mhispaniola sasa hivi kaa kwa kutulia
Miaka ya hivi karibuni makocha wa kigeni ndiyo waliopeleka furaha Anfield.Kumbe anatokea Spain?
Aisee!
Hebu tunaomba Sasa uchambuzi wa kocha mpya.
Japo mimi Sina hamu tena na kocha wageni 🙌
Uliona alivyokuwa anawafanya akiwa Bournemouth? Aliwafunga na kutoa nao draw big 4 wote isipokuwa Liverpool. Ana pira kama la KloppKumbe anatokea Spain?
Aisee!
Hebu tunaomba Sasa uchambuzi wa kocha mpya.
Japo mimi Sina hamu tena na kocha wageni 🙌
Angalia hata YouTube mechi za Bournemouth msimu wa 2025/2026 utaona mpira wake yaani intensity ya juu sanaKumbe anatokea Spain?
Aisee!
Hebu tunaomba Sasa uchambuzi wa kocha mpya.
Japo mimi Sina hamu tena na kocha wageni 🙌
Kumbe ndio maana FSG wabatafuta mwekezaji mpya, precisely Bezos wa Amazon nk nk...View attachment 3635664
Announce Massive Expansion Plans! Anfield Set to Grow from 61,276 to 110,000 Seats – Including Luxury Fan Park, Event Zone, and Transport Infrastructure! New Hotels, Commercial Hub, Following Arrival of New Projects, This bold project, estimated at around $300 million is scheduled to commence in……
Liverpool Football Club have officially unveiled comprehensive redevelopment plans to further expand iconic Anfield and elevate the surrounding district into a world-class sports and cultural destination. Building on previous stand redevelopments, the main highlight of this multi-million-pound initiative is a historic capacity increase taking Anfield from its current 61,276 limit to an unprecedented 110,000 seats, featuring monumental structural overhauls across the stadium footprint.
Beyond increasing seating capacity, the grand masterplan incorporates a covered year-round Fan Village and public event plaza situated along the edge of Stanley Park. Designed to enhance matchday and non-matchday engagement alike, the space will showcase state-of-the-art interactive fan zones, flagship retail outlets, live entertainment stages, and diverse food and beverage destinations celebrating local culinary talent.