Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Klopp anarudi

Salah hayupo
Henderson hayupo
Trent hayupo
Van Dijk kajiishia

Ndiyo waswahili wakasema "Pema ni pema hujapopema ukishapema si pema tena"
🤔🤔🙆🏾🙆🏾🙆🏾Mtoe Henderson hapo Wala Klopp hamuhitaji...by the way kama kweli kuna wachezaji wenye bahati amini ni Henderson,dogo sijawai kumwelewa.
Ukimpa Klopp hizi pesa alizopewa Slot June 2025 usajili utashangaa atakavyoleta wachezaji wenye kuedana na mfumo wake.
Kwa miaka yote ya Klopp klabuni Liverpool hakuwa anakosea sokoni ilikua nadra sana kama vile Kabak, Thiago, Keita nk yaani hao ndio Mzee baba alichemka lakini wengine wengi tena kwa gharama ndogo sana alipata wachezaji wazuri tazama bei around , Matip bure, Gini 25m, Robo 8m, Mane 30m, Salah 34m, VVD 75m, Allison 65m, Szcbo 61m (in usd 8 stand to collected) hivyo Klopp kumpa kitita Cha maana ataleta wachezaji waaana Kila idara.

Trent , Salah na VVD ni generational talent hua ngumu sana kupata like for like wa kuwa replace hivyo ni mwalimu ku tweak mfumo ili ku balance kikosi....

I would rather have Klopp hata bila ela nyingi za usajili kuliko kua na Slot mwenye ela nyingi sokoni.

We need a miracle gemu ya mwisho, Hali tete Sana.

YNWA
 
Wanetu kazi mnayo. Ila Klopp akirudi mnashuka daraja, this guy alishadeclare kwamba nguvu za EPL zinamuisha. Also, technically, timu nyingi zimeendelea kwa sasa.
 
Kweli nimeamini pale unapopata nafasi ya kufurahia timu yako, do it to the maximum because you never know what next season will bring about. Nyie mburura mlikuwa mnasema mtabeba EPL muongo mzima ujao!. Leo mnalia na kichwa Mviringo balaa
Haya yote kayasababisha kipara kichwa cha mgane....Pumbavu zake wallahi
 
Huyu Ng'ombe nilimuona mapema kuwa ni lijinga tu ndiyomana licha ya kubahatisha ubingwa sikuwahi kumsifia
Manyanza , Bobby na Mona ulikuwa huwaambii kitu.
Wakaanza hadi kumcompare na Klopp,
Utasikia manyanza anasema sijui ball control na udambwidambwi mwingine😁.

Msimu ule alivyokosa UEFA, FA na Carabao
Wewe ukasema amekosa Kwa ujinga wake, angeweza kubeba vyote.
Ila wadau walisharidhika na EPL ambayo aliipata Kwa upepo wa kikosi cha Klopp.
 
Ungekuwa shabiki wa Liverpool
Kwa huu uchezajj wa timu vs pesa alizopewa, Usingemlaumu kocha?

Kocha anatakiwa kulamiwa pia, amepewa support ya hela na management, target zake zote kapewa... kifuatacho ni kudeliver... amechemka ! Hakuna namna Slot anahusika na anguko la Liverpool
 
Cc Saint Anne
20260520_020934.jpg
 
Kocha anatakiwa kulamiwa pia, amepewa support ya hela na management, target zake zote kapewa... kifuatacho ni kudeliver... amechemka ! Hakuna namna Slot anahusika na anguko la Liverpool
Slot ni mpuuzi sana yule
Ndiye aliyetufikisha hapa
 
Klopp anarudi
Jiandaeni kulia
Hyo ndo tunamtaka aje....mwenzie kipara kaona mambo yasiwe mengi kala unyoya....hyo Klopp na midevu yake ndo ataanza kulalamika mapema kabisa....kufufuka kwa Livakuku ni mpk apatikane Salah kijana vinginevyo kwa winga ya yule muuza maji wa uholanzi....mtasubiri sana
 
Manyanza , Bobby na Mona ulikuwa huwaambii kitu.
Wakaanza hadi kumcompare na Klopp,
Utasikia manyanza anasema sijui ball control na udambwidambwi mwingine😁.

Msimu ule alivyokosa UEFA, FA na Carabao
Wewe ukasema amekosa Kwa ujinga wake, angeweza kubeba vyote.
Ila wadau walisharidhika na EPL ambayo aliipata Kwa upepo wa kikosi cha Klopp.

Slot ni kama Tapeli fulani hivi maneno mengiii
 
Un
Slot ni mpuuzi sana yule
Ndiye aliyetufikisha hapa
Ninyi chini ya Slot hata mipango ya ubingwa miaka 2 mbele hamna.Kkilichobaki ni kumpiga mtungo Arteta na genge lake wasichukue back to back ili tuepuke fedheha yao kenge wale.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom